Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Nilivyo na kipilipili,nimejitahidi mpaka sasa nina Afro moja limesimama wima

nimeteseka kupata huu unywele kwa miaka,eti kale kadada kananiambia,sipendezei

nywele so ninyoe low cut ntapendezea,nikamwambia hebu nitumie pcha za wasanii au watu

walionyoa unavyopenda ili nikienda salooon nimwelekezeje kinyozi,basi akantumia pic ya JUX

nikajisemea kimoyo moyo huyu mtoto kaamua tu kuntafutia sababu,nikamwambia ka date na JUX, sinyoi!
 
Ila kiukweli hii tabia ya kuanzia kudate na Mtu unamkuta Hana misuli unaanza force awe na misuli Kwa kweli siyo ya kuiendekeza kabisaa!ikemewe!Kwani alivyoanza kudate na usie na misuli mabaunsa hakuwaona?huko ni kuchoshana akili
 
Raha ya kijora ni kwamba habar za joto joto kwishinei[emoji1787][emoji1787]barabaran ukiwa unatembea kinapepea chenyewe tu ndio maana napenda
Mimi mwenzenu nikiyaona huwa yananivutia sana. Ila sasa kuyavaa ndo siwezi. Yani hata kutoa pesa yangu kununua kijora siwezi. Ninayo mawili nimenunuliwa na ndugu Yana muda lakini siyavai Mara kwa mara, yako mapyaa vile vile. Ila ni mazuri kweli yani kwa kuyatazama. Wengine mpaka wanayashape. Lakini mie siwezi kabisa.
 
Back
Top Bottom