Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahhaaaaaAaah wengine tuwabishi ukitukataza ndio kama umetuambia tufanye.
Aliniambia nisiwe navaa tshirt msenge yule[emoji1]
eti sipendezi..body builder tangu lini hapendezi tshirt kumbe bana alikuwa anachukua tahadhari
Alikhofia atanyang'anywa