Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Pole,mikoani wanaona kijora Kama ushangingi🤣🤣
Hicho kijora Cha chui sikipendi !!yaani siku hiyo nakata zangu kko nikakiona wacha Moyo upasuke nikasema yes bonge swaga,nikanunua fastaaa jamani wiki iliyofuata Dar nzima wamekivaa wale wavaa vijora wasiojipenda na kisigino kichafu wote wamevaa jamani 🙄🙄🙄🙄🙄,,nilikuwa Singida vijijijni juzi nimekikuta kimezidi nichosha
Nipo nakatia vitunguu nyumbani
Mikoani vijora sio sana. Hawavielewi kabisa.
Huko Dar hakuna ua la peke yako. Lazima ukute na mwenzako mko sare sare
 
Wewe Ni Kama Mimi,nikihisi harufu ya dharau kwenye mahusiano Aisee yaani Moyo wangu unakufa ganzi ghafla tu yaani,kwa Sababu Mimi simdharau mtu why Mimi anidharau?piga chini
Kuna binti mmoja hivi niliwahi kumpenda sana,na sababu ya kumpenda ni kwamba mimi ndiye niliyemtoa usichana wake,

Nilimpa zawadi,nilimpigia simu kila saa, nilimpa pesa za matumizi, nilimnunulia nguo nzuli pindi tu nipatapo pesa,nilijitahidi kumnunulia simu nzuli japo hakuwahi kufkria kwamba Kuna siku atavimiliki hivyo vitu...

Alivyoona nahangaika na yeye wakati mwingine akiwa kafanya makosa yeye ila mimi naomba yaishe...

Yule binti akaona ameniweka hapa, nikawa nikipiga simu hapokei mpaka nipige zaidi ya mara mbili, hataki kuongea na simu anadai amechoka,anaumwa mdomo n.k mara anawaambia marafiki zake eti mimi kwake ni boya tu anaweza kuchepuka na nikamsemhe kwa sababu nampenda sana,

Kuna siku aliniambia yaani Kuna mtu anamsumbua sana na anasifa zaidi yangu na ananionea huruma tu kuwa na Mimi anaogopa kuniacha eti Nita umia sana. ndo siku nilivyochukua vyangu vya thamani kwake na kumwacha mazima,

Mpaka kesho ana mwaga machozi kuniomba nimludie ,na mimi tayari nina mke na watoto...

Yeye tayari single mother.

Dharau ni mbaya sana kwenye mapenzi..
 
Yule binti akaona ameniweka hapa, nikawa nikipiga simu hapokei mpaka nipige zaidi ya mara mbili, hataki kuongea na simu anadai amechoka,anaumwa mdomo n.k mara anawaambia marafiki wenzie eti mimi kwake ni boya tu anaweza kuchepuka na nikamsemhe kwa sababu nampenda sana,

Kuna siku aliniambia yaani Kuna mtu anamsumbua sana na anasifa zaidi yangu na ananionea huruma tu kuwa na Mimi anaogopa kuniacha eti Nita umia sana. ndo siku nilivyochukua vyangu vya thamani kwake na kumwacha mazima,

Mpaka kesho ana mwaga machozi kuniomba nimludie ,na mimi tayari nina mke na watoto...

Yeye tayari single mother.

Dharau ni mbaya sana kwenye mapenzi..
Dharau sio poa kabisa inakata stimu kabisa..
Ila mwamba ndio ukapora vitu vyako Tena?🤣🤣🤣🤣🤣
Au ndio wewe uliimbiwa"kanunua simu kampa demu walivyoachana KAMPOKONYAAAA🎼🎼🎼
 
Kuna binti mmoja hivi niliwahi kumpenda sana,na sababu ya kumpenda ni kwamba mimi ndiye niliyemtoa usichana wake,

Nilimpa zawadi,nilimpigia simu kila saa, nilimpa pesa za matumizi, nilimnunulia nguo nzuli pindi tu nipatapo pesa,nilijitahidi kumnunulia simu nzuli japo hakuwahi kufkria kwamba Kuna siku atavimiliki hivyo vitu...

Alivyoona nahangaika na yeye wakati mwingine akiwa kafanya makosa yeye ila mimi naomba yaishe...

Yule binti akaona ameniweka hapa, nikawa nikipiga simu hapokei mpaka nipige zaidi ya mara mbili, hataki kuongea na simu anadai amechoka,anaumwa mdomo n.k mara anawaambia marafiki zake eti mimi kwake ni boya tu anaweza kuchepuka na nikamsemhe kwa sababu nampenda sana,

Kuna siku aliniambia yaani Kuna mtu anamsumbua sana na anasifa zaidi yangu na ananionea huruma tu kuwa na Mimi anaogopa kuniacha eti Nita umia sana. ndo siku nilivyochukua vyangu vya thamani kwake na kumwacha mazima,

Mpaka kesho ana mwaga machozi kuniomba nimludie ,na mimi tayari nina mke na watoto...

Yeye tayari single mother.

Dharau ni mbaya sana kwenye mapenzi..
🙌 hawa tunaowabikiri tukiwaonesha upendo wanatuonaga mafala sana sijui ni kwa sababu ya wanalack expirience ya mahusiano? Wangu nae alizinguaga ila now usumbufu mwingi
 
NImeiona sana kuna siku nilikua kigamboni ilipita gari ya mbagala inaenda kwenye shughuli sijui. Walivalia sare hiyo

Gily njoo umnunulie shemeji kijora cha chui chui
Hao watakuwa walikuwa wanatoka Rongoni😂😂😂😂Maana ndio chimbo lao watoto wambagala....halafu wapiga goma lao linaitwa" safari ya beach''
 
Wa kwanza Aliniambia anataka niachane na wengine abaki yeye peke yake tu yaani aniweke kwenye mikono yake niwe kama mali yake yeye pekee nikaona huyu analiwa nini? Hisia zikafa kwake nikapiga chini.

Wapili, amekosa kujiamini kabisa yaani yeye kila siku lazima aniambie "Yaani unaringa wewe" Kiufupi huyu anaona kama mimi kwa kuwa nashobokewa na madem wengi ndo maana hanisumbui akili so akijifanyaga kutokunitext anakuta kumbe mimi ndo napenda asinitext😁😁😁, Kauli yake ya "Yaani wewe unaringa" imefanya sasa nimuone kama ananiletea nuksi nimeona nimpotezee mazima sasa.
 
Back
Top Bottom