Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli bwana, mashangazi wenyewe ndio Wana 40 -50 Sasa hapo wewe upate kikongwe Kama ilivyosemekana🤣Kaniambia kuwa sasa nitakuw na miaka 48? siwezi pata shangazi nitapata kikongwe😀 mpumbavu san huyu dogo
Ni muhimu na lazima tujifunze kuwa wakweli na kuusema ukweli 🤣😂Ila kweli bwana, mashangazi wenyewe ndio Wana 40 -50 Sasa hapo wewe upate kikongwe Kama ilivyosemekana🤣
Yaani kuna watu wa ajabu sana Upendo kwa wazazi wangu eti mtu aingilie kati we 😬Ulifanya vyema sana wapo wengi. Kuna wale wasiopenda uwahudumie hata wazazi wako. Mtu aogop kusema kati ya mimi na mama yako nani wa muhimu kumtumia hela 🙌🤣. Nilimwambia sina hata haja ya kumjibu, mpaka leo hii akinitafuta ananiomba msamaha.
Umeona Gily ? 🤣Hapo ni Bibi tu hakuna namna!
Hata mimi haiwezekani yani tukutane ukubwani kama ndevu alafu uje ujione wa thamani sana kutaka kunivuruga na wazazi. Bora tuachane tuYaani kuna watu wa ajabu sana Upendo kwa wazazi wangu eti mtu aingilie kati we 😬
Itabidi safari muanzie hapa hapa duniani lkn!upo tayari?ukiwa tayari niambie akupe siti fasta🤣😂😂 Aiseh mwambie na mim asinisahau.
😍😍Hata mimi haiwezekani yani tukutane ukubwani kama ndevu alafu uje ujione wa thamani sana kutaka kunivuruga na wazazi. Bora tuachane tu
Ukweli utakuweka huru😂Ni muhimu na lazima tujifunze kuwa wakweli na kuusema ukweli 🤣😂
Huna baya 😂😂Usinichonganishe😂😂😂
🤣 kabisa ye adili na wabibi wakeUkweli utakuweka huru😂
Mashangazi akuachie wewe na apostle.Huna baya 😂😂
🤣 kabisa ye adili na wabibi wake
hahaha naogopa kumtag faizafoxy🤣🤣Ila kweli bwana, mashangazi wenyewe ndio Wana 40 -50 Sasa hapo wewe upate kikongwe Kama ilivyosemekana🤣
😂 sasa kama wananipenda wenyewe nikatae?Mashangazi akuachie wewe na apostle.
Huyo wivu unamsumbua,,ulionyesha ugaigai akapagawa,Sasa hataki wenzie waoneMimi alinikataza nisiwe nasikiliza singeli wala kucheza. Akasahau siku ya kwanza kuniona aliniona nacheza singeli ndio akanipenda[emoji57][emoji57]
hahaha naogopa kumtag faizafoxy🤣🤣
Kwa Nini Sasa ukatae?😂 sasa kama wananipenda wenyewe nikatae?