Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Aliniambia sina akili za shule wa za maisha....
Kwaiyo kwakwe nitarejea tu, hata kama tutaachana ipo siku nitamuomba msamaha...

Kwa kweli nilimuaibisha shetani wake, saizi yeye ndy kaparara na sina habari naye akiniona ananikimbia...

Godfrey Mungu siyo baba yako nyau weweeeeeeeee
Hahahaha
 
😂😂 hongera sana mtu kama huyo hafai alikuona hauna ujanja wa kuishi bila yeye kumbe alikua anajidanganya. Mtu wa hvyo hata kama unampenda kwa kauli hizo bora ukubali maumivu tu ili aone yeye sio Mungu mtu.
Asante, kama ningeshikilia yale mahusiano mpaka saizi...

Nahisi na mm ningekuwa nahudhuria therapy za afya ya akili maana ilikuwa ni vurugu mechi nguo kuchanika kila siku.

Na nilimkomesha kwa kuhama mpaka mkoa ili tu nikaanze upya huko niendakoooo
 
Yes ungelikuwa na hali mbaya maana hayo ni manyanyaso ya wazi wazi kabisa.

Tatizo tunawaamini wanaojiona kuwa hatuna ujanja kwao kwa lolote.
Screenshot_20230412-202453_Instagram Lite.jpg
 
Kuna binti mmoja hivi niliwahi kumpenda sana,na sababu ya kumpenda ni kwamba mimi ndiye niliyemtoa usichana wake,

Nilimpa zawadi,nilimpigia simu kila saa, nilimpa pesa za matumizi, nilimnunulia nguo nzuli pindi tu nipatapo pesa,nilijitahidi

Yeye tayari single mother.

Dharau ni mbaya sana kwenye mapenzi..
Nilidhani unanisemea mimi aisee
 
Maumivu yanakomaza nafsi!hapo hata ukutane na Delillah wa Samson unamzoom tu,ukiona kaanza drama wewe unatia breki ghafla yaani bado ana wenge unamwambia shuka chini🤣
Wewe mtoto una maneno sana..." Eti unatia break ghafla"
 
Aliniambia sina akili za shule wa za maisha....
Kwaiyo kwakwe nitarejea tu, hata kama tutaachana ipo siku nitamuomba msamaha...

Kwa kweli nilimuaibisha shetani wake, saizi yeye ndy kaparara na sina habari naye akiniona ananikimbia...

Godfrey Mungu siyo baba yako nyau weweeeeeeeee
Duh! Ulimfanya nini mpaka akutoe akili hivyo?
 
Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.

Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.

Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
Hapo mkuu ulikuwa unatembea na Kajala!
 
Back
Top Bottom