Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Nasubiri.
nilikua napendana na binti mmoja hivi.... nilimdanganya umri wangu niliogopa asije akaniponyoka..... sasa kuna rafiki yangu wa karibu alikua anafahamiana nae, alimuambia umri wangu halisi....
Binti alimind mno, nilishindwa kujitetea basi vitimbwi vikaanza.... simu hapokei, meseji hajibu na zaidi ya yote, naniliu alikaza kabisa hanipi, juhudi zote zinagonga mwamba

mawasiliano yalikata kabisa mpaka siku moja tulipokutana, aligomba sana..... baada ya hapo hatujawahi ongea wala kuonana tena.... ni kosa nilifanya sawa, lakini alibadilika ghafla sana, tulikua tuko poa kabisa hatukosani wala nini.... sidhani kama nilistahili mateso yale....

nilikuja kugundua sasa yupo na yule rafiki yangu aliyeniponza, nae nimempotezea kabisa....
na hio ndo ikawa mara yangu ya kwanza na mwisho kuingia kwenye mahusiano😅

Kelsea
 
Aisee kumbe mapenzi yanawapelekesha sana eeh
 
Mdada alikua mkubwa kukuzidi??
 
Watu wenye sifa za ubarobaro huwa ni mabad men. Na women admire badmen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakupangia na hakuhudumii?? Woiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…