Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Nilijiondokea zangu abaki na ushamba wake.mshamba tu huyo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijiondokea zangu abaki na ushamba wake.mshamba tu huyo.....
asante kwa kufunguka, na mimi nitaleta yangu hapa siku moja😅 ila ni nzitoNilijiondokea zangu abaki na ushamba wake.
Weka bwana sasa hivi.asante kwa kufunguka, na mimi nitaleta yangu hapa siku moja[emoji28] ila ni nzito
ntakutag, wacha nijikusanye😅Weka bwana sasa hivi.
Nasubiri.ntakutag, wacha nijikusanye[emoji28]
nilikua napendana na binti mmoja hivi.... nilimdanganya umri wangu niliogopa asije akaniponyoka..... sasa kuna rafiki yangu wa karibu alikua anafahamiana nae, alimuambia umri wangu halisi....Nasubiri.
Aisee kumbe mapenzi yanawapelekesha sana eehAlianza kunikataza kusuka baadhi ya mitindo ya nywele akawa anataka nisuke anavyotaka yeye tena ya gharama mbali na uwezo wangu na hajawahi kutoa hata mia ila kulalamika sasa ooh hujapendeza ilibidi usuke mtindo fulani. Nikaja nikanyoa kaja tena umepunguza sana nywele hupendezi[emoji849]
Nilikuja kumuacha na hadi leo hajuagi kwa nini nilimuacha labda kama ana akili sawa sawa atajiongeza ajue wapi alinikera. Alianza kulalamika mbona mwembamba sana anataka niongezeke.Yule umbwa nilimuangaliaaa sikuongea kitu toka pale nilimuacha kimya kimya. Anajiliza liza hadi leo eti kwa nini nilimuacha na sijawahi kumuambia sababu. Alininyanyasa sana kihisia sipendagi hata kumuona.
Mdada alikua mkubwa kukuzidi??nilikua napendana na binti mmoja hivi.... nilimdanganya umri wangu niliogopa asije akaniponyoka..... sasa kuna rafiki yangu wa karibu alikua anafahamiana nae, alimuambia umri wangu halisi....
Binti alimind mno, nilishindwa kujitetea basi vitimbwi vikaanza.... simu hapokei, meseji hajibu na zaidi ya yote, naniliu alikaza kabisa hanipi, juhudi zote zinagonga mwamba
mawasiliano yalikata kabisa mpaka siku moja tulipokutana, aligomba sana..... baada ya hapo hatujawahi ongea wala kuonana tena.... ni kosa nilifanya sawa, lakini alibadilika ghafla sana, tulikua tuko poa kabisa hatukosani wala nini.... sidhani kama nilistahili mateso yale....
nilikuja kugundua sasa yupo na yule rafiki yangu aliyeniponza, nae nimempotezea kabisa....
na hio ndo ikawa mara yangu ya kwanza na mwisho kuingia kwenye mahusiano[emoji28]
Kelsea
ndio....Mdada alikua mkubwa kukuzidi??
Ukimpenda mtu unajitajidi kwenda nae sawa. Unavumilia mengi ila ukichoka unamuachia manyoya tu.Aisee kumbe mapenzi yanawapelekesha sana eeh
Alikuzidi kama miaka mingapi?ndio....
mmoja tu, simuelewi alimind nini mpaka leoAlikuzidi kama miaka mingapi?
Kuna wadada wengine hawataki kabisa kudate wanaume wanaowazidi umri hata kama kakuzidi mwezi tu anaona sio poa. Pole sana.mmoja tu, simuelewi alimind nini mpaka leo
Watu wenye sifa za ubarobaro huwa ni mabad men. Na women admire badmenAlinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.
Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.
Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakupangia na hakuhudumii?? WoiiiiihAlianza kunikataza kusuka baadhi ya mitindo ya nywele akawa anataka nisuke anavyotaka yeye tena ya gharama mbali na uwezo wangu na hajawahi kutoa hata mia ila kulalamika sasa ooh hujapendeza ilibidi usuke mtindo fulani. Nikaja nikanyoa kaja tena umepunguza sana nywele hupendezi[emoji849]
Nilikuja kumuacha na hadi leo hajuagi kwa nini nilimuacha labda kama ana akili sawa sawa atajiongeza ajue wapi alinikera. Alianza kulalamika mbona mwembamba sana anataka niongezeke.Yule umbwa nilimuangaliaaa sikuongea kitu toka pale nilimuacha kimya kimya. Anajiliza liza hadi leo eti kwa nini nilimuacha na sijawahi kumuambia sababu. Alininyanyasa sana kihisia sipendagi hata kumuona.
Aisee mambo ya kupenda mtu mie ndio siwezagi kabisaaaaUkimpenda mtu unajitajidi kwenda nae sawa. Unavumilia mengi ila ukichoka unamuachia manyoya tu.
Kwani lazima kuhudumiwa...ebu kazeni matako yenu nyie wanawake mjihudumie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakupangia na hakuhudumii?? Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena alete case kwangu, namstua babee wangu anakufutilia mbaliiii.Nisicheke na wanaume wa jf atawaambia mod’s wanipe life ban
Na ukaendelee hivyo hivyo. Utaepuka mabalaa mengi.Aisee mambo ya kupenda mtu mie ndio siwezagi kabisaaaa