Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Sitaki uwe na marafiki wa kike, la sivyo, ntakuombea isiwe ina simama. Nikaona huyu anataka kukata hadi tawi alilokalia?

Nikasepa fasta, simu sipokei mpaka leo.
 
Mnwteswa na mapenzi mnoo[emoji23][emoji23] huwa mnachagua partners mkiwa mnasinzia au[emoji23][emoji23]
Kwani mwanzoni utajua sasa? Tungekua tunajua toka mwanzo vilio kuhusu mahusiano katu visingekuwepo.
 
Kwamba umri wako ungekuwa mkubwa sana au????
 
et kuanzia saa mbili usiku nisichat wala kupigiw simu
 
Nakumbuka dem Wang alnkataza kuongea na manzi yoyot, kumbe manz kibao walkua wanangombea, wiv tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ