Safi...mnatakiwa muwe mnaweza piga jokes ndio raha ya mahusianoAndunje yupo good sana. Nilimumbia JF ana a.k.a ya andunje basi huwa anacheka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi...mnatakiwa muwe mnaweza piga jokes ndio raha ya mahusianoAndunje yupo good sana. Nilimumbia JF ana a.k.a ya andunje basi huwa anacheka.
Kwani mwanzoni utajua sasa? Tungekua tunajua toka mwanzo vilio kuhusu mahusiano katu visingekuwepo.Mnwteswa na mapenzi mnoo[emoji23][emoji23] huwa mnachagua partners mkiwa mnasinzia au[emoji23][emoji23]
Nilishakuwa na uraibu
Kweli usemalo basi nitajaribu kuacha. Ila na wewe uache kupiga story za mizangamuano, Mungu hapendi.Mungu hapendi
Hao wanawake wazuri waliokupenda sana kwa nini mliachana?Niache kuvuta bangi...aisee.
Nilimfikiria sana kwamba huyu malaya ni gani, halafu hajui huko nyuma nilishamiliki wanawake wazuri zaidi yake, walijua nakula weed na walinipenda sana.
Nikamuacha yeye.
Kweli usemalo basi nitajaribu kuacha. Ila na wewe uache kupiga story za mizangamuano, Mungu hapendi.
Kujua lazima ujue tu,, especially after 90 days with a lot of pressure lazima ujueKwani mwanzoni utajua sasa? Tungekua tunajua toka mwanzo vilio kuhusu mahusiano katu visingekuwepo.
Kwamba umri wako ungekuwa mkubwa sana au????nilikua napendana na binti mmoja hivi.... nilimdanganya umri wangu niliogopa asije akaniponyoka..... sasa kuna rafiki yangu wa karibu alikua anafahamiana nae, alimuambia umri wangu halisi....
Binti alimind mno, nilishindwa kujitetea basi vitimbwi vikaanza.... simu hapokei, meseji hajibu na zaidi ya yote, naniliu alikaza kabisa hanipi, juhudi zote zinagonga mwamba
mawasiliano yalikata kabisa mpaka siku moja tulipokutana, aligomba sana..... baada ya hapo hatujawahi ongea wala kuonana tena.... ni kosa nilifanya sawa, lakini alibadilika ghafla sana, tulikua tuko poa kabisa hatukosani wala nini.... sidhani kama nilistahili mateso yale....
nilikuja kugundua sasa yupo na yule rafiki yangu aliyeniponza, nae nimempotezea kabisa....
na hio ndo ikawa mara yangu ya kwanza na mwisho kuingia kwenye mahusiano😅
Kelsea
yeye ndo alikua mkubwa kwanguKwamba umri wako ungekuwa mkubwa sana au????
[emoji23][emoji23][emoji23]alinikatazaa kulike pichaa za misambwandaa instagram...mbwa yuleee wivuu tuu
ooho msala huooo 🙂🙂🙂 😀 😀 sasa hakuona tu hata kwa machooo.yeye ndo alikua mkubwa kwangu
tulikua tumepishana mwaka tu.... afu nina ugonjwa wa kupenda wadada walionizidi umri, najikuta tu imetokea hivyo sijui kwanini😅hakuona tu hata kwa machooo.
falaa alikutafutiaa sababu tuu huyooo mwaka kitu ganii sasa.... yani mimi piaa na umri sio ishu aiseetulikua tumepishana mwaka tu.... afu nina ugonjwa wa kupenda wadada walionizidi umri, najikuta tu imetokea hivyo sijui kwanini😅
Me madem zangu azam TV burudan kwa wore maana nliacha kupenda 2020 hukooo saiz madem 20+ na maisha yanakwenda vizur t😄😄et kuanzia saa mbili usiku nisichat wala kupigiw simu
Mapambo gani? Mapambo yanayotembea?Sasa tukikaza matako si yatakuwa magumu, mkiyapiga mtaumia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ni mapambo lazima tuhudumiwe