Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahhaaaaaAaah wengine tuwabishi ukitukataza ndio kama umetuambia tufanye.
Aliniambia nisiwe navaa tshirt msenge yule[emoji1]
eti sipendezi..body builder tangu lini hapendezi tshirt kumbe bana alikuwa anachukua tahadhari
AhaaahahaAlinambia niache kufuatilia na kuangalia mpira, kisa aliona napenda mpira sana kuzd ninavyompenda yy ,yan mda mwng natumia kwenye mpira wa miguu, nikaona mpuuzi huyu nikaachana nae
Mkuu niunganishie mdogo wakeWakati mimi wangu anashiriki hadi kunipa timu na ananiambia nisiweke stake Chini ya elfu 50
Wakifungua za levo ya form four we fungua wako wa levo ya degreeJf mods naunga mkono aliyesema degree kiwe kigezo cha kujiunga jf... Juzi kati kuna bnt amefungua uzi namna wats app inavomsumbua..yaaan inakuwa ni HOME OF TABURALASA
😂 ukapiga chini?Alinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
Nipigie ilo pande mkuuAlikua anapenda sana kunipigisha punyeto, yaan alikua addicted sanaa, akiona jinsi zinavyoruka zikitoka ndio mzuka unampanda balaa siku ukimgomea hawezi... Tulidumu miezi michache tu maana sikua napenda hiyo tabia yake,
Kuna kipindi tushaachana yeye alihamishiwa mkoani akawa analilipa kiasi cha fedha tunaongea video call napiga master nae anajifanyia yake ndio hapo nkajua alikua anamiliki dudu bandia zaidi moja, siku alituma ml 1 akaniambia tunakatana adi iishe, nkaona huyu anataka kuniharibu nkam'block akaja nitumia sms za vitisho nkamchunia tu, mwaka jana kapita ofisini tukabaki tunacheka tu.
Hongera kwa kulipiga chinialinikataza nisiende kwenye shamra Sharma za ccm
😂 Nawewe ni kadaalinikataza nisiende kwenye shamra Sharma za ccm
☝️☝️☝️☝️☝️☝️Alinambia niuze gari yangu il nipate mahari nimuoe(in my mind nkasema hiv huyu mse**) mimi gari ndy my fav nikiwa na stress na drive mbali zinaisha, so kila akiwa anauliza umefikia wapi lile swala namzuga kuwa wateja wote hawafiki bei nayotaka, it was 2017/8
Tena ukijichanganya ukaoa, utaishia kuitwa mume jina tu, huku librazameni linaendelea kupasha kiporo kama kawa.Kabisa mkuu. Baadh ya wanawake wanzimika na mabushoo, wanapigwa kitu wanatemwa. Ndio wanaanza kuhaha kusaka ndoa huku wako 1 mbele
Amechoka kutoa hela ya saluniAlinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
Haina kuremba Aisee🤣🤣🤣😂 ukapiga chini?
Ubahili tu,hata kutoa kwenye hajaanza kaingia na Sheria zake 🤣🤣🤣Amechoka kutoa hela ya saluni
😅 nilishamsifiaga kuwa akiwa na short hair anapendeza akaniacha sijui nilikosea wapHaina kuremba Aisee🤣🤣🤣
Sasa wewe humu ni jukwaa la mahusiano huku na hiyo degree itahusiana nini? Au na wewe kiande kama wengine?Jf mods naunga mkono aliyesema degree kiwe kigezo cha kujiunga jf... Juzi kati kuna bnt amefungua uzi namna wats app inavomsumbua..yaaan inakuwa ni HOME OF TABURALASA
Hatupendi kabisa hiyo kauli tunaihusisha na mwanamme asiyetaka kukuhudumia🤣😅 nilishamsifiaga kuwa akiwa na short hair anapendeza akaniacha sijui nilikosea wap
Mbona nilikua nahudumia vizuri tu kila wiki nampa ya saluni ila ghafla akanyoa nikamsifia na kweli alipendeza sana sikuwa na maana nyingineHatupendi kabisa hiyo kauli tunaihusisha na mwanamme asiyetaka kukuhudumia🤣