Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

1. Kubwa zaidi siwezi kuwa na mahusiano na watu wawili kwa wakati mmoja huwa najiuliza wanawake wenzangu wanawezaje kuwapanga hata watano Pia kuomba omba hela siwezi najisikia kama sio yaani.
2. Kwanza sina ticktok nawashangaa sana watu wazima wanaokesha kujiimbisha huko.
3. Kuzurula mitaani bila bila sababu maalumu au kutoka niende kwa watu siwezi kabisa kama sina sababu maalumu ya kutoka bora nikae ndani.
4. Kufwatana magrup ya akina Dada sijui kutoka out Mara kuenda vacation pamoja ni Mara mia nikatoka out na wanangu.
 
Naenda kanisani kama mara nne hivi kwa mwaka.
 
....well and good for u, sipendagi hayo maujinga, naonanaga hao wadada ni kama matahira hivi, am sorry to say this kwa wanaopenda!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…