Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Naonaga wafanya biashara ndio wanafanya. Mtu wa kawaida sasa anaweka anaongea nini?Hivi nyie mnaotupostiaga voice note status mnawezajee 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naonaga wafanya biashara ndio wanafanya. Mtu wa kawaida sasa anaweka anaongea nini?Hivi nyie mnaotupostiaga voice note status mnawezajee 🤣🤣🤣🤣
Mkuu mimi natafuta kitabu hiki "A world is a Mirror" nakiomba tafadhaliUnataka kipi mkuu.
Mimi kuna vitsbu huwa napendelea kuvisoma kama vile vya self help books na kama hizo.
Mfano.
Atomic habits.
How to win friends....
N.k
????Kuvaa nguo iliyopita magoti
Wakati unaniquote nikawa nimeshaedit????
Kasome tena.Wakati unaniquote nikawa nimeshaedit
Yaani ht huyo mfanyabiashara anaongea nini si aposti picha tu au videoNaonaga wafanya biashara ndio wanafanya. Mtu wa kawaida sasa anaweka anaongea nini?
Hahahaha hii hata mimi sijawahi hata kuwaza 🤣🤣🤣Kwenda photoshoot
Hiyo mimi nimeshindwa kabisa.Kujipulizia marashi, nimejaribu nimeshindwa
Sio kwa ubaya ila mimi mtu ambaye sio star/mambo ya biashara akifanya photoshoot huwa namuona mshamba.Kwenda photoshoot
Naenda kanisani kama mara nne hivi kwa mwaka.Kupiga show beach au kwenye swimming pool nlishashindwaga
Kutumia Viagra puturur na vumbi la
banacongo, mambo ya supu ya pweza & energy na Panadol naskiaga tu kwa marafiki
Kwenda church kila jpili nlishashindwa nkisali mara tano kwa mwaka inatosha
Kwenda kuangalia mechi uwanjani, kuhudhuria matamasha ya mziki kama fiesta aiseee kitambo kulishanishinda huko
....well and good for u, sipendagi hayo maujinga, naonanaga hao wadada ni kama matahira hivi, am sorry to say this kwa wanaopenda!....Kupost vijembe whatsapp....mtu akipost vijembe aibu huwa naona mimi, kugombana kidogo wasapu mie siwezi!!!
Kujirekodi rekodi unaimba imba vinyimbo huku unafinya finya na kulamba midomo kisha kupost sijawahi na siwezi na huwa nashangaa wanaoweza wanawezaje
Kweli ni kama utaahira asee, basi mtu akiwa anaimba imba hivo nadhani akili yake inamwambia ",go beyonce go" 🤣🤣🤣🤣....well and good for u, sipendagi hayo maujinga, naonanaga hao wadada ni kama matahira hivi, am sorry to say this kwa wanaopenda!....
Utakuwa msabato wewe [emoji16]Kusuka [emoji1787][emoji23]
Haaaah hiyo ya kwanza hilo neno nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kudinya mke wa mtu
Kupigia kura MATAGA
Kuwa chawa
Kukaa kijiweni bila issue maalumu
Nimeedit MkuuKwahy wew ni mwendo wa vimin tuu.