Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hata kuruka kamba huchezi[emoji2]?Kucheza michezo sijui vikoba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuruka kamba huchezi[emoji2]?Kucheza michezo sijui vikoba
Dah, kweli tuko tofauti.. me pensi nashindwa kuvaa church tu!Kuvaa pensi na kutoka kuzurura Public
Hii tupo pamoja.Kucheza michezo sijui vikoba
Umeamua unukie kibeberu🤣Kujipulizia marashi, nimejaribu nimeshindwa
Antiperspirant(Deodorant) inanitosha😂Umeamua unukie kibeberu🤣
Kumtukana mwanamke.Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Mimi naivaa mbele ya mke wangu tu,Dah, kweli tuko tofauti.. me pensi nashindwa kuvaa church tu!