Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
HahahaaahaaMkuu mimi nina kiganja cha kibepari lazima vidole vikutane hadi kupandiliana. Bado hizo fito ngaziona kama za Marabou Stork
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaahaaMkuu mimi nina kiganja cha kibepari lazima vidole vikutane hadi kupandiliana. Bado hizo fito ngaziona kama za Marabou Stork
Mguu ndio huo, ebu sema tenaMkuu itakuwa unatembea kwa MIKONO
Too funny 😂!Kujirekodi rekodi unaimba imba vinyimbo huku unafinya finya na kulamba midomo kisha kupost sijawahi na siwezi na huwa nashangaa wanaoweza wanawezaje
Nimemuona😂😂😂😂Sasa huyo umemuona? Mambo ya ovyo hayo🤣🤣🤣
We Ana…..wanaume gani hao ambao huwa wanajing’ata midomo na kuimba imba? Mi naonaga wadada tu….😂😂😂😂😂
Eti go Beyonce
Ila kuna watu wanapendeza wakijisnap
Wana pozi kalikali ,mi huwa napenda sana kwa kweli kuangalia..
Halafu hata wanaume pia huwa wanaimba mbona
Wengine sasa ni vituko
Wanaoniacha hoi wale wanapeleka video Inakimbia fastaaa sijui huwa wanafanyaje Ile ,midomo inaenda mbio.
Huyo dogo akijipost hivo mie ndo huwa nahisi aibu 🤣🤣🤣🤣Nimemuona😂😂😂😂
Hapishani sana na classmates wangu
Yaani humohumo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inakua kama mtu ambae anaimba wimbo ambao haujui🤣🤣🤣 kinachotia aibu zaidi ni ukute mtu mzima anafanya hayo😹Too funny 😂!
Umeelezea vizuri kweli na umewasema wengi sana na wengineo wapo humu humu JF na wamekuruka hawajakugongea Like.
Pia, huwa wanageuza geuza/ wanatikisa vichwa vyao na kurembua vimacho.
Na ukifanya uchunguzi zaidi, utabaini kuwa wengine hawaimbi maneno yaliyopo kwenye wimbo, bali huwa wanachezesha tu vimidomo vyao [lip-synch]. Na ukichunguza zaidi, utagundua vimidomo vyao haviendani na maneno ya wimbo [off-key kind of].
Kuna dada mmoja anarap mulemuleToo funny 😂!
Umeelezea vizuri kweli na umewasema wengi sana na wengineo wapo humu humu JF na wamekuruka hawajakugongea Like.
Pia, huwa wanageuza geuza/ wanatikisa vichwa vyao na kurembua vimacho.
Na ukifanya uchunguzi zaidi, utabaini kuwa wengine hawaimbi maneno yaliyopo kwenye wimbo, bali huwa wanachezesha tu vimidomo vyao [lip-synch]. Na ukichunguza zaidi, utagundua vimidomo vyao haviendani na maneno ya wimbo [off-key kind of].
Kapendeza sana😂😂😂😂Huyo dogo akijipost hivo mie ndo huwa nahisi aibu 🤣🤣🤣🤣
Wapo😂😂😂😂We Ana…..wanaume gani hao ambao huwa wanajing’ata midomo na kuimba imba? Mi naonaga wadada tu….
Inakua kama mtu ambae anaimba wimbo ambao haujui🤣🤣🤣 kinachotia aibu zaidi ni ukute mtu mzima anafanya hayo😹
Wanawake wanapenda lakin wanawashangaa Sana wanaume wanao Fanya Ivo wanawezaj🤠🤣🤣🤣
Yahitaji moyo na kujitoa ufahamu kwa kweli.
😂😂😂 ila kuna wanawake 🙌Kweli ni kama utaahira asee, basi mtu akiwa anaimba imba hivo nadhani akili yake inamwambia ",go beyonce go" 🤣🤣🤣🤣
Wewe ni Me?😳😳1. Kuning'iniza funguo ya gari
2. Kuhudhuria sherehe. Huwa nachangia tu wife anaendaga
3. Kupiga stori na watu nisiowajua