Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Mkuu itakuwa unatembea kwa MIKONO
Mguu ndio huo, ebu sema tena
IMG_20240329_203426_904.jpg
 
Kujirekodi rekodi unaimba imba vinyimbo huku unafinya finya na kulamba midomo kisha kupost sijawahi na siwezi na huwa nashangaa wanaoweza wanawezaje
Too funny 😂!

Umeelezea vizuri kweli na umewasema wengi sana na wengineo wapo humu humu JF na wamekuruka hawajakugongea Like.

Pia, huwa wanageuza geuza/ wanatikisa vichwa vyao na kurembua vimacho.

Na ukifanya uchunguzi zaidi, utabaini kuwa wengine hawaimbi maneno yaliyopo kwenye wimbo, bali huwa wanachezesha tu vimidomo vyao [lip-synch]. Na ukichunguza zaidi, utagundua vimidomo vyao haviendani na maneno ya wimbo [off-key kind of].
 
😂😂😂😂😂
Eti go Beyonce

Ila kuna watu wanapendeza wakijisnap
Wana pozi kalikali ,mi huwa napenda sana kwa kweli kuangalia..
Halafu hata wanaume pia huwa wanaimba mbona
Wengine sasa ni vituko

Wanaoniacha hoi wale wanapeleka video Inakimbia fastaaa sijui huwa wanafanyaje Ile ,midomo inaenda mbio.
We Ana…..wanaume gani hao ambao huwa wanajing’ata midomo na kuimba imba? Mi naonaga wadada tu….
 
Too funny 😂!

Umeelezea vizuri kweli na umewasema wengi sana na wengineo wapo humu humu JF na wamekuruka hawajakugongea Like.

Pia, huwa wanageuza geuza/ wanatikisa vichwa vyao na kurembua vimacho.

Na ukifanya uchunguzi zaidi, utabaini kuwa wengine hawaimbi maneno yaliyopo kwenye wimbo, bali huwa wanachezesha tu vimidomo vyao [lip-synch]. Na ukichunguza zaidi, utagundua vimidomo vyao haviendani na maneno ya wimbo [off-key kind of].
Inakua kama mtu ambae anaimba wimbo ambao haujui🤣🤣🤣 kinachotia aibu zaidi ni ukute mtu mzima anafanya hayo😹
 
Too funny 😂!

Umeelezea vizuri kweli na umewasema wengi sana na wengineo wapo humu humu JF na wamekuruka hawajakugongea Like.

Pia, huwa wanageuza geuza/ wanatikisa vichwa vyao na kurembua vimacho.

Na ukifanya uchunguzi zaidi, utabaini kuwa wengine hawaimbi maneno yaliyopo kwenye wimbo, bali huwa wanachezesha tu vimidomo vyao [lip-synch]. Na ukichunguza zaidi, utagundua vimidomo vyao haviendani na maneno ya wimbo [off-key kind of].
Kuna dada mmoja anarap mulemule
Na anatoa sauti
Yaani anaweka sauti yake , na ya wimbo kwa pamoja.
 
Huwa nashangaa watu wengine wanaweza vipi kutembea barabarani/njiani wakiwa wanapiga mziki kwenye simu zao tena Kwa sauti kubwa mi siwezi

Mtu yupo ndani ya gari la abiria anapiga mziki kwenye simu yake tena Kwa sauti kubwa au akipigiwa simu anaweka loudspeaker anaongea jamani[emoji849].
 
Kumiliki au kuvaa nguo ndefu, hii kwa kweli siiwezi na imenishinda. [emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom