Ni kitu gani...?!


haya yote ukiyajumlisha ni kuwa hakuna upendo moyoni mwake..........kwa hiyo hakuna malalamiko ila kukubaliaa na hali iliyopo au kufungasha virago vyako..................because you are worthy more than he is willing to give to you..............................kwa hiyo nionapo hakuna reciprocating love or there is unrequited love..............I know I should be angry to no no one but accepting the situation as it comes..................
 
Deka Laaziz deka.........furahia masha katika mwanga bora mamii wala hugombwi hahah.............Kloro shem wangu hongera!

LOLZZZ...Kloro huyu ntamweza basi..akisikia tu mtu anaangusha kicheko cha uswahilini ndo basi tena nimeshampoteza!!
 
AHSANTE!!
Namiss kibutton cha THANKS!!!
 
Deka Laaziz deka.........furahia masha katika mwanga bora mamii wala hugombwi hahah.............Kloro shem wangu hongera!

senks shem! Naskuru sana kumpata Lizzy kwasababu yeye yeye ni mchumba halaf yeye mwenyewe ni kungwi, wazungu wanaita 2 in 1 au buy one get one free.

acha nikashoneshe suti a harusi.
 
senks shem! Naskuru sana kumpata Lizzy kwasababu yeye yeye ni mchumba halaf yeye mwenyewe ni kungwi, wazungu wanaita 2 in 1 au buy one get one free.

acha nikashoneshe suti a harusi.

Dah kweli ulifanya survey kwanza mbona umekula bingo shem wangu!!............... nikikorofisha huko nkimtuc mtu Mwanaume gani ......ah sina shaka mbio kwenu najua kungwi atanfunda nsirudie tena au nituc matuc ya mapenzi yae ya .......Mwone vile, mi nakupenda uko........kwa sauti laini na deko la haja!
 
Hahahah..
Muone...una mimacho mizuri ndo maana nakupenda!!
 
Reactions: Mbu
mbu swalama?...

swaumu aje arif?.....

nimekukumbuka sana.........
 
Reactions: Mbu
rizwaaniiii seeeemaaaaaaa....seeeeemaaaaa usiogopeeee seeeemaaaaaa

sisi wana mmu hatuogopiiii wasaniiii seemaaaaaaa.....

Rizwani mzima lakin?.....

nimekukosa sana....
msamilie klorokwin
 

...khaa? sasa hilo nalo tusi jamani? au unavyolitamka ndio linageuka tusi?
Lol, umenikumbusha wale wanaoomba kutukaniwa watu wao wakati wa 'Cough!'...
mnh,! ...nimefunga nisije haribu swaumu yangu.

Mpenzi ukilema unakuja pale unaporuhusu kua punching bag...day in...day out!!

Hahaahaha....we sema ni visa tu!Ingekua kweli unajua sana cha kufanya...unanunua pair alafu huikati!!!

...mwambie huyo, anajitoa fahamu ilhali thamani yake aijua...lol!


hahahaha asiwe na hofu, mimi ni mzoefu sana kwenye hizi kesi. Hivi sasa nipo kwenye kampeni ya kumrejesha Lizzy kwa ex wake, na soon nitafanikiwa.

...khaa....? 'mwamba ngoma weee...!' ....shurti gani hizo aje na khanga?

senks shem! Naskuru sana kumpata Lizzy kwasababu yeye yeye ni mchumba halaf yeye mwenyewe ni kungwi, wazungu wanaita 2 in 1 au buy one get one free.

acha nikashoneshe suti a harusi.

Spot on buddy, ....wale wazee wa sredi za kuogopa wanawake sijui wapo wapi leo!
 
mbu swalama?...

swaumu aje arif?.....

nimekukumbuka sana.........

Salaaale, e bana za masiku tele? nini kilikusibu bana, kimyaaaaaaaa!
Huku shwari bana, wimbo ule ule...mafuta tabu, umeme tabu...
Karibu jamvini!!!
 
rizwaaniiii seeeemaaaaaaa....seeeeemaaaaa usiogopeeee seeeemaaaaaa

sisi wana mmu hatuogopiiii wasaniiii seemaaaaaaa.....

Rizwani mzima lakin?.....

nimekukosa sana....
msamilie klorokwin

Kaazi kweli kweli!!
 
Lol Mbu ndo kuniumbua eh.............najitoa ufahamu? hahahha haya bwana mie mapenzi nadhani bado nna ulimbukeni hivi hahahahahahahaahah
Mbona ataekaimu atapata shida maana anakutana na mwanafunzi aliyekomaa kwa mafundisho toka JF.
 
rizwaaniiii seeeemaaaaaaa....seeeeemaaaaa usiogopeeee seeeemaaaaaa

sisi wana mmu hatuogopiiii wasaniiii seemaaaaaaa.....

Rizwani mzima lakin?.....

nimekukosa sana....
msamilie klorokwin


hehehehe dah! hii mutu kumbe iko hai?

na we pinda , semaaa usiogope semaaa

Mkuu umebakisha nyundo ngapi huko segerea? rudi kundini bana
 

hahahaah dah! MJ1 bana
 
Ulipoweka hiyo Kanga tu akili zote zimenipotea! hivi tunajadili nini vile? halaf sjui swaumu haijatenguka?
Khaaaa! haya ndio nilokuwa namueleza gaga!

ni khanga au alievaa khanga?lol
swaumu ya leo,we acha tu lol
 
emjeiwani upo mamaangu?
habari ako binafsi baaaanaaaaa!

nakumisi sana mamaaaaa la kulivua pendo....that was the thread of the threads...hehehehe!mbu na klorokwin wataunga mkono hoja pasi na kuomba miongozo!....

nisalimie mamaaa la nyamayao mwambia yeye mfalme ya amani anamkumbuka sana manake alinambia mpo wote doha!.....

nakukumbuka sana emjeiwan!

pamoja sana
 
ni khanga au alievaa khanga?lol
swaumu ya leo,we acha tu lol

Tunatumia hekima mkuu! tungesema alievaa kanga Mbu angeanzisha valangati kuliko la London. acha tujifanye tumeishoboke kanga tu.

Saumu ya leo kweli ina utata aisee, mara Lizzy na MJ1 wanaleta vineno ya uchokozi halaf mara Mbu anaweka kanga na miguu rangi ya vanish. Dah!
 
Reactions: Mbu



hehehe shuko sugi in da hauzi!
Mfalme wa amani bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…