mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Kwenye harakati za maisha unaweza kwenda kwa mtu,mshikaji au ndugu yako ukakutana na vitu ukajiuliza vimefikaje pale ukakosa majibu.
Mimi nna visa kadhaa ambavyo nilivikuta kwa washikaji zangu kwenye magheto yao huwa najiuliza sana nakosa majibu hadi leo..nabaki kucheka tu kila nikikumbuka.
1: Kitanda cha kujenga Na tofali alafu nyumba ni yakupanga nilipo uliza umekikuta akajibu hapana nili jenga nikauliza ulijenga vp akajibu nilikua nakuja Na tofali moja moja kwenye begi ili mwenye nyumba asijue ujenzi unao endelea nikauliza kwahio hapa akitaka uhame? Akajibu ndio hio siku atashangaa nikisha hama
2: Mimi nilienda ghetho kwa mshikaji wangu nikamkuta jamaa analalia kitanda cha hospital sijui kilifikaje pale ghetho.
3: Nilienda kwa MWALIMU wangu wa primary, nikakuta MILANGO imeandikwa STD 1,STD 2 mpka la SABA 😁😁 nkajisemea tuu kimoyo kimoyo HUU NDO WIZI sasa.
4: Nilienda kwa jamaa angu ukonga nikakuta kitandani ametandika shuka za MSD. Kila nikijaribu kumuuliza anaishia kucheka tu😆😆😆😆.
Je, wewe mkuu ushawahi kukutana na nini huko maghetho au nyumbani?