BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Nilimtembelea mshikaji mmoja kuna kimvua mvua nikakuta yeye na mke wake wamevaa life jackets sijui walizitoa wapi na sio wafanyakazi wa ferry wala meli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kawaida sana kwenye jamii za wafugaji.Ghetto kijijini nilipoenda kusalimia nikapewa nilale na huyo bro anayelala hapo anaingia kama sasa sita usiku .Bhana nimeenda kulala kama saa nne kasoro aisee nashangaa panaletwa Mbuzi mule ndani tulale nao wapo kama watano hivi na nilikuwa nipo alone jamaa bado hajaja mpaka saa sita.
Hao mbuzi hawalali wanatafuna usiku mzima na unasikia kabisa "kwachu kwachu kwachu " na mule ndani hamna majani sijui wanayatoa wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo sio mwenzetuMie nilimkuta mwana ana dildo geto..hata sikuuliza.
Alafu alikuwa anabeba tofali mojamoja kwenye begi😂Wewe jamaa muongo, yaani mtu ajenge Kitanda cha matofali kwenye chumba cha kupanga kweli daah[emoji1787][emoji1787]
KaahhhGhetto kijijini nilipoenda kusalimia nikapewa nilale na huyo bro anayelala hapo anaingia kama sasa sita usiku .Bhana nimeenda kulala kama saa nne kasoro aisee nashangaa panaletwa Mbuzi mule ndani tulale nao wapo kama watano hivi na nilikuwa nipo alone jamaa bado hajaja mpaka saa sita.
Hao mbuzi hawalali wanatafuna usiku mzima na unasikia kabisa "kwachu kwachu kwachu " na mule ndani hamna majani sijui wanayatoa wapi?