Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

Nilimtembelea mshikaji mmoja kuna kimvua mvua nikakuta yeye na mke wake wamevaa life jackets sijui walizitoa wapi na sio wafanyakazi wa ferry wala meli
 
Hiyo ni kawaida sana kwenye jamii za wafugaji.
 
Kaahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…