Ni kituko kwamba Rais Biden hataki kuulizwa maswali. Je, hawezi kujibu kama Marais waliopita?

Sasa rais wa Tanzania lini ulimuona akikubali kuulizwa maswali.
 
Huko Tanganyika mfalme wenu ukimuuliza swali anaamrisha "majasusi" wake wakukamate mara moja!

Kitakachofuata ni kuvunjwa meno ya mbele!
 
Magufuli huwa anaulizwa?????? Labda tuanzie hapo!
 

Unamkashifu Biden bure kwa mapenzi yako kwa MAFIA Don Donald Trump!!! Trump alikuwa anaogopa hata kutoa press briefings kwenye press room na badala yake alikua anajificha na kutumia TWITTER; je huo ndio umahiri?

Biden juzi tu alikuwa na interview ya muda mrefu bila teleprompter na CBS news; mara nyingi reporters wa FOX news huwa wanauliza maswali ya kisenge ndio maana huwa hawajibu anaondoka nduki kama Don alivyokuwa anafanya akiiulizwa na reporters toka CNN!
 

from start to finish​

Fig. entirely; throughout. I disliked the whole business from start to finish. Mary caused problems from start to finish.
Aaaaaaaaaaaaa mkuuuuuu mkuuu mkuu mkuuu mkuuuuu mkuuuuuu mkuuuuuuu.
 
Ana akili sana hataki kuja kutoa majibu ya hovyo katika kipindi hichi cha awali [maana jibu lake ndio msimamo wa nchi na pengine dunia ni lazima liwe na utosheleziwa kina] mnataka aropoke ropoke
 
Ana akili sana hataki kuja kutoa majibu ya hovyo katika kipindi hichi cha awali [maana jibu lake ndio msimamo wa nchi na pengine dunia ni lazima liwe na utosheleziwa kina] mnataka aropoke ropoke

Wamezoea kuropokewa na JIWE!!
 
Sasa
You don’t know what you are talking about. Why do need to do a research? I told you that I watched the whole news conference from start to finish. JIONGEZE badala ya KUKURUPUKA na UZUSHI. ZWAZWA wewe!
bob shida nn kwan...si useme tu hiyo conference alifanya lini tuitafute tuangalie kama unashindwa kutupa link boss
 
You don’t know what you are talking about. Why do need to do a research? I told you that I watched the whole news conference from start to finish. JIONGEZE badala ya KUKURUPUKA na UZUSHI. ZWAZWA wewe!
Liberals bana 😀 😀 sasa unapanic nini,fats always don't care about your feelings/emotions.Weka evidence mezani twende sawa.Njoja tukunyooshee uwnja,leta hata video kipindi cha kampeni tu,akijibu maswali ya papo kwa papo for at least 30 mnts..
 
Trump alikuwa anakimbia press briefing??,really kipindi chote cha covid nani alikuwa anatoa briefing?,Kama ulikuwa unafuatilia vizuri,Hivi ilishapita sikun 5 hujamuona Trump kwenye press breafing??..Aisee tusiwe wanafiki,kati ya marais waliokuwa wanaulizwa maswali magumu na press ni Trump na wala hajawahi jificha kwenye basement kama Joe...Thats fact
 
Press briefings za Trump nani alikuwekea video hapa? Acha kubweteka! JIONGEZE!
 
Kawekwa tu, wenye majibu wanakula mvinyo na remote control.
 
Trump ni Kiongozi bora kabisa, Anajua nini anafanya, huyu hajui, na hio interview maswali yalikua yameandaliwa na majibu yako kwenye teleprompter ila hawawezi kukuonyesha, angalia macho, na anajibu kama anasoma. Hata kama Trump hatumpendi ila ukweli lazima ubaki palepale, Ni Kiongozi mzalendo sana kwa watu na Nchi Yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…