Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

au mkuu mfano mzuri pia iangalie mimea nayo ina uhai sababu inajongea na kuzaliana inavuta hewa lakini pamoja na kwamba ina uhai mimea haina roho
Chanzo chako cha kujua kuna kitu kinachoitwa roho ni nini?
 
Kumbe ni dhana. Mimi nilifikiri kuna kitu kinaitwa roho kweli
 
Embu nidonolee kuhusu huyo mtu mwenye umri wa 2014 MKUU...
 
Embu nidonolee kuhusu huyo mtu mwenye umri wa 2014 MKUU...
 
Kila kiumbe kitaocha umauti.... Nafiki hata yesu atarudi ili aje aonje umauti. Ahsante
 
Jibu lako hakuna kiumbe hai anaye ishi bila kufa kinachobaki kuwa hai ni roho tu na roho sio kiumbe ni kisababishi cha kiumbe kuwa hai kinapotoka uhai hutoweka hata mtoaji roho Israil atakufa.
 
Jibu zuri
Mkuu Kinakufa kilicho na uhai...sawa na kusema wangapi wamepata mimba mwaka huu. ..point ya kwanza kujua lazima hao wawe ni wanawake. ..swali linauliza vilivyo na uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…