Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,659
Mh! Jamaa gani huyo anae tanga tanga duniani mpaka leo!? Aje nimtie panga la kichwa nione kama hato kufa huyu huwa hafi atadunda tu mpaka siku ya kiama.
kama yule jamaa anayetangatanga ulimwenguni kwa kujificha kila akijaribu kujiuwa inashindikana kwa sasa ana umri wa miaka 2014 na miezi 9/
alimdhihaki nabii fulani akaambiwa hata kufa mpaka siku ya hukumu.
mwingine ni farao yeye mwili wake hautaharibika mpaka siku ya hukumu,mwili wake upo tangu enzi za musa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] jinga sana mkuu utanivunja mbavuKingunge .............
IbilisiSIjakusoma mkubwa! yupi huyo anayetangatanga mwenye umri mkubwa hivyo? na je mwili wa farao uko pande zipi??
mamboHakuna
According to your link. I quote the statement A single planula gives rise to a polyp colony.
Kuna viumbe vingi tu ambavyo havitakufa :Wakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
samaki aina ya Jelly fishWakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
Hakuna kiumbe kisicho hai mzee.Kila kinacho itwa kiumbe ujue kina uhai mpaka pale tu kitakapo kufa.Tatizo mnaleta tafsiri finyu za kisayansi.Kwa Viumbe hai umeweza na Visivyo ni uhai je? lete Aya ya quran inyozungumzia viumbe visivyo na uhai!