Komodo!Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako.
ila
Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu,
Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
Kuwa serious.buibui aisee😂
Hawa hawa wanaokuwa ndani?buibui aisee😂
[emoji23][emoji23][emoji23] najua unataniabuibui aisee[emoji23]
kuna wale wakubwa hata mkononi ana jaaHawa hawa wanaokuwa ndani?
serious nikiona buibui lazima nitafute kiatu nimuue ndo nakua na amani[emoji23][emoji23][emoji23] najua unatania
KENi kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?
serious kabisaKuwa serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]serious nikiona buibui lazima nitafute kiatu nimuue ndo nakua na amani