nyoka!!!!!!....mimi namwogopa kondoo na sintokaa nimfuge na nitaacha wosia wangu kwa watoto wangu wasije wakamfuga huyu MANDONGA!!!!,,,kule kijijini kwetu,huko maeneo ya KIBOSHO nilipokuwa nasoma darasa la tano,,,,kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa anakunywa sana pombe na kila akirudi alikuwa analala chini ya migomba ndo apumzike{alikuwa anafuga kondoo},,,sasa siku hiyo akaaa kwenye msingi wa nyumba,ghafla akawa anasinzia ,anarudi nyuma na kwenda mbele{kiwiliwili pamoja na kichwa kwani makalio yalikuwa yamekalia msingi na miguu ilikuwa chini},,msingi ulikuwa mfupi tu!!!,sasa alikuwa ana kondoo dume{kule kwetu kondoo dume anaitwa sua}.......kondoo kuona yule mzee anayumba akadhani anamtisha,kwa macho yangu kondoo alirudi nyuma kama hatua saba,alafu kwa kasi ya ajabu akakimbilia kwa yule babu,alimtandika kichwa kimoja tu,mzee kichwa kikapasuka na kufa hapohapo.........yaani ata kama mtoto mdogo anatambaa,kondoo anaweka