Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

Mwamba huyu apa
 

Attachments

  • Screenshot_20231002-231044_Chrome.jpg
    Screenshot_20231002-231044_Chrome.jpg
    21.7 KB · Views: 2
Siogopi nyoka hata kidogo. Tena akiingia ndani we niite tu na nitamtoa bila wasiwasi...na nilikuwa na bahati nilikaa na wazee wakanifundisha mbinu za kumtoa nyoka nje ya nyumba hata kama kuna giza
Upo vizuri. Nyoka nikimuona hata kwa mbali ni mbio muda huo huo sipatani nao kabisa
 
Mwamba huyu apa
Hana lo lote huyu. Alishawahi kunigonga asubuhi nakwenda shule boarding safari ya masaa zaidi ya 14 nikaenda tu poa japo maumivu nilikuwa nayasikilizia. Labda ukibahatisha jike ndo kidogo muziki wake unaeleweka lakini siyo kwa level ya kulia kisa eti maumivu...

Ungesema labda tandu kidogo muziki wake naukubali maana kama huna pumzi unaweza hata kuzirai aisee 😁
 
Siogopi viumbe vingi sana kama nyoka naweza mshika kwenye shingo yake nikambana wala asiwe na ujanja, ila kinyoga nikimwona tu mpka kumuota namuota .
 
Siogopi nyoka hata kidogo. Tena akiingia ndani we niite tu na nitamtoa bila wasiwasi...na nilikuwa na bahati nilikaa na wazee wakanifundisha mbinu za kumtoa nyoka nje ya nyumba hata kama kuna giza
Mbinu Gani hiyo ya kumtoa nyoka hata gizani
 
Nashangaa kuna wanaume wameandika kwamba wanaogopa wadudu au baadhi ya viumbe...

Unless wameandika hivyo tu kusogeza uzi...
 
Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako.

ila
Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu,

Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
Nyoka wa kijani
 
Back
Top Bottom