Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

1. Fear women
2. CCM
3. CCM
4. CCM
5. CCM
6. CCM
7. CCM
8. CCM
9. CCM
10. CCM
 
Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako.

ila
Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu,

Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
Ukiacha paka ambao wanatumiwa na wachawi, Bundi naye ananitisha sana maana wengi naona huwa wamefungwa hirizi.
Waswahili ndio hasa wana watumia hawa.
 
Naskia nyuki... ni wewe tuu na ukorofi wako.. yaani ukiwa mtu cool hata hawana shida na wewe
Kuna mtu kinondoni nyuki wameweka kambi kwenye duka lake ameamua kuwaacha tu na ni wengi si mchezo. Hawasumbui mtu mpaka wasumbuliwe.
 
Panya, jamani panya. Aliwai nifanya niruke mahali na tumbo langu la miezi saba. [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
 
Kuna mtu kinondoni nyuki wameweka kambi kwenye duka lake ameamua kuwaacha tu na ni wengi si mchezo. Hawasumbui mtu mpaka wasumbuliwe.
Haoo itakua wa kutumwa si bure 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Wateja wanafika hapo sasa 🤓🤓✍️
 
Ni hatar sana mkuu , unakuta unajazwa kichwa kama jinga fulani , unajifia bila kuufurahia uhai wako kwa maslai ya wengine.
 
Hana lo lote huyu. Alishawahi kunigonga asubuhi nakwenda shule boarding safari ya masaa zaidi ya 14 nikaenda tu poa japo maumivu nilikuwa nayasikilizia. Labda ukibahatisha jike ndo kidogo muziki wake unaeleweka lakini siyo kwa level ya kulia kisa eti maumivu...

Ungesema labda tandu kidogo muziki wake naukubali maana kama huna pumzi unaweza hata kuzirai aisee 😁
Tandu sio poa. Huku nakaa tunayaua kila uchwao
 
Mnatutwishaga mizigo mizito ndio maana tunajifia mapema kwa kujikaza kiuongo[emoji16][emoji16]

Sasa mwanaume anaogopaje sijui mende, chura, kinyonga, panya na anakiri kabisa mbele za watu...

Wanaume tumebaki wachache sana, jando inabidi lirudishwe kuondoa hiki kizazi nyoronyoro...
 
Sasa mwanaume anaogopaje sijui mende, chura, kinyonga, panya na anakiri kabisa mbele za watu...

Wanaume tumebaki wachache sana, jando inabidi lirudishwe kuondoa hiki kizazi nyoronyoro...
Zoophobia hii ni hali ya kawaida kwa baadhi ya watu mkuu ,bila kujalisha jinsia ya mtu , kuna wanaoogopa kinyonga ila nyoka wanamshika kabisa.
 
Back
Top Bottom