Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako.

ila
Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu,

Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
 
Komodo!
 
nyuki na mjinga mwenzake mavu bila kusahau dondora hawa nikiona wanazisha makazi ninapo ishi lazima nitafute dawa ya rungu na kuwamaliza kabisa.

nairobifly sijui kama ni jina lake halisi lakini ni wale wadudu akikukojolea unababuka nae nikimwona mahali simwachi
 
Back
Top Bottom