Ni kiwanja gani ni mbadala wa La Chaaz, Sinza?

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Wakuu,

Baada ya kusikia kiwanja changu pendwa lachaaz kuungua moto, sasa nipo njia panda ni kiwanja kipi mbadala kwa maeneo ya sinza?

Nataraji kufika jijini, hapo awali sehemu niliyokuwa najiachia ni hapo La Chaaz

wanabodi nipeni mbadala
 
Wakuu

Nataraji kufika jijini, hapo awali sehemu niliyokuwa najiachia ni hapo lachaz

wanabodi nipeni mbadala
Njoo hapa Calabash au Catalonia (zamani Katalunya) au 5N
 
Kweli Sinza imechoka,, yaani sinza ile ya wajanja leo hii haina kiwanja chenye burudani na kila kitu baada ya lachaz kufa?

Wawekezaji wazinduke sasa walete mapesa yao huku kwa wala bata
 
Wakuu
Baada ya kusikia kiwanja changu pendwa lachaaz kuungua moto, sasa nipo njia panda ni kiwanja kipi mbadala kwa maeneo ya sinza?

Nataraji kufika jijini, hapo awali sehemu niliyokuwa najiachia ni hapo lachaz

wanabodi nipeni mbadala
Si tumekubaliana maombolezo siku 21 jamani?

Mara hii tushaanza ratiba za kula bata hata kuzika hatujazika?
 
Gurudumu la maisha halisimami, hata iweje, wengine wanalazimisha tu..
 
Wakuu,

Baada ya kusikia kiwanja changu pendwa lachaaz kuungua moto, sasa nipo njia panda ni kiwanja kipi mbadala kwa maeneo ya sinza?

Nataraji kufika jijini, hapo awali sehemu niliyokuwa najiachia ni hapo La Chaaz

wanabodi nipeni mbadala
Nyie vijana mmeambiwa maombolezo ni siku 21 .
 
Nita miss sana vibe la ijumaa samaki samaki.. hasa tule tuvijana tunachezaga dah!
 
Back
Top Bottom