nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
Ni kweli bt mourinho hajui kuwapa moyo wachezaji.mfano walipofungwa na mancity akasema kuna baadhi ya wachezaj wamemwangusha,blind alikosea cku ile tu akaamua kumsugulisha na kuanza kumtumia smalling sasa wachezaj pressure iko juu sana wanaogopa mno kufanya makosa so hawachez kwa uhuru...ajue kushndwa kupo na timu bado inajaribu kujijenga na inapotokea wanafungwa basi akubali kushndwa badala ya kutafuta wa kumlaun either refa au wachezaj wakeTumpe muda Mourniho sidhani kama atakubali kumwaga Unga tena,I think bado anatafuta Combination ya timu.
Ila naye inabd awe na maamuzi magumu kama Guadiola kumpeleka Torino kwa mkopo Hart kama player anacheza chini ya kiwango weka pembeni..