Ni kocha yupi atakua wa kwanza kuoneshwa mlango wa kutokea??

Tumpe muda Mourniho sidhani kama atakubali kumwaga Unga tena,I think bado anatafuta Combination ya timu.

Ila naye inabd awe na maamuzi magumu kama Guadiola kumpeleka Torino kwa mkopo Hart kama player anacheza chini ya kiwango weka pembeni..
Ni kweli bt mourinho hajui kuwapa moyo wachezaji.mfano walipofungwa na mancity akasema kuna baadhi ya wachezaj wamemwangusha,blind alikosea cku ile tu akaamua kumsugulisha na kuanza kumtumia smalling sasa wachezaj pressure iko juu sana wanaogopa mno kufanya makosa so hawachez kwa uhuru...ajue kushndwa kupo na timu bado inajaribu kujijenga na inapotokea wanafungwa basi akubali kushndwa badala ya kutafuta wa kumlaun either refa au wachezaj wake
 
Sure Kaka manake kuna siku na siku mpira waweza kukukataa pia Mourniho kwa sasa anafanya kazi akiwa na Tempo kubwa anaogopa kumwaga Unga so lazima awe mkali kidogo.

Ila Blind ni kiraka ata 6 Anatusua tuu cha msingi atafute uwiano mzuri tu wa eneo la katikati timu itakaa vizuri
 
Ni kweli bt mourinho hajui kuwapa moyo wachezaji.mfano walipofungwa na mancity akasema kuna baadhi ya wachezaj wamemwangusha,blind alikosea cku ile tu akaamua kumsugulisha na kuanza kumtumia smalling sasa wachezaj pressure iko juu sana wanaogopa mno kufanya makosa so hawachez kwa uhuru...ajue kushndwa kupo na timu bado inajaribu kujijenga na inapotokea wanafungwa basi akubali kushndwa badala ya kutafuta wa kumlaun either refa au wachezaj wake
You really know football [emoji460]
 
Pogba, ma nigga, lol [emoji16]
Mbna pogba kapga mwingi tu leo,hata Bale alipoenda madrid watu hawakumuelewa kwanza ila sasa anaperform vizuri,Pogba tumpe muda kakutana na falsafa tofauti za makocha pale juventus hakua na kazi kubwa ya kukaba atarudi tu mchezoni
 
Mchizi ananyota ya punda tu yaani
 
VALENCIA SACK AYESTARAN...NAONA Spain kishanuka uko kibarua cha mtu kimeota magugu...
 
Timu zenye uwezekano wa kutimua makocha mapema sana kwenye PL ni Swansea, Stoke City na West Ham. Kocha wa kwanza kutimuliwa PL atatokana na mojawapo kati ya hizo timu..

Watch this space
 
Sunderland 2 crystal palace 0 then Sunderland 2 crystal palace 3...Moyes naye sijui ila bahat sunderland sio watimuaji sana

Bilic/westham naye simuelewi last season alikua onfire season hii bure na hakuna wachezaji kauza Payet In kati ya timu ambazo nashindwa kuelewa sinacheza formation gani ni westham
 
Moyes hawezi kuondolewa kipindi hiki maana ndo kwanza amepewa timu. Ila wengine walikuwa na timu tangu msimu uliopita
 
Back
Top Bottom