Ni kocha yupi atakua wa kwanza kuoneshwa mlango wa kutokea??

Conte muda si mrefu kitanuka
Ila Conte kakuta timu ipo vibaya sana nahic ajasajili yeye zaid ya David Luiz wachezaji wengi niwa Mourhino,makocha wengi kutoka Italy wanapenda soka la kulinda na ukiangalia pale chelsea hakuna beki katili kama jana upande wa Ivanovic ndo palikua njia tumwache asajili kwanza.

Pia bosi wake kama malengo ya kuingia top 4 na sio ubingwa
 
conte hatutakula nae xmass
Abramovic amekubal mpango wa kuifanyia timu mageuzi wachezaji wengi sana pale wataondoka...conte bado ako na nafasi timu hajasajili yeye hii
 
Majeruhi wa kwanza huyu. Link Swansea sack Francesco Guidolin and appoint Bob Bradley manager
 
Timu zenye uwezekano wa kutimua makocha mapema sana kwenye PL ni Swansea, Stoke City na West Ham. Kocha wa kwanza kutimuliwa PL atatokana na mojawapo kati ya hizo timu..

Watch this space
True
 
Kule chini championship, Aston villa wamemfungashia vilago ndugu di mateo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…