Hahahahaa...nacheka km mazuri..huyu dogo ht ukimuona tu unajua huyu mtundu sana..yaan kakorofiii...kamewah kutufungia nje..kakaja fungùa saa8 usk yaan ilikua ukimgombeza tu anakimbilia chumban anajifungia mazima..utaita wee..wapii.kakaa kimya..jaman...nakwazika..ila maajabu shuleni ticha ake ananiambia Luiz is very smart..had nikamwambia kwan kuna kina Luiz wawili hili darasa...dah..ni mtata sijapata ona..lakini naambiwa na mm nilikua hv...baba yetu alikua hvi..mtata,mbabe,dah ..siku hiz simpigi..nampa postive discpline..ila hazisaidii..ukimuacha kwenda mjin hajishughulishi..anafungulia kuku makusudically wanakula maua yangu..chaa!