Pole sana Rafiki.....duh....20!!!Najuta nilivyo mvumilia mwanaume miaka 20 bila matunzo na kujimudu mwenyewe kimaisha na kulea watoto mwenyewe yeye analeta pumbu tu na kipigo juu na alikuwa mdokozi wa vijisenti vyangu vya biashara nikamvumilia tu sababu akutetelesha msingi wangu lakini kilicho nifanya nilivue pendo na mwishoo wangu kwake na kilio kikubwa zaidi ya majuto alicho nifanyia kuniibia pesa zangu zote za mtaji mpaka sasa natangatanga nadaiwa pesa za mashure (private) mpaka wamenichoka kulialia wakati enzi zangu ilikuwa pesa ya madafu kulipia watoto 4 najuta kumvumlia mwanaume malio na kupoteza muda wangu na umri wangu wa ujana nikitegemea ataacha yanii daaa! Simsame mpaka uchumi wangu urudi tena ata Nikifa asije kwenye mazishi yangu ata jeneza asiguse atakuwa ananijoki tu nae anajua haya![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pole sana hii nadhani tuliwahi kuizungumza mtaa wa pili...Ushauri wangu SAMEHE...ningumu kweli ila kama unataka kuendelea mbele samehe...MOYO wa Mwanadamu haukuumbiwa Maumivu...Sababu unavyomuweka Moyoni ndivyo unavyozidi kuumia ukichukulia yeye anaendelea na Maisha yake chakufanya we we Jikubali kuwa umepoteza Omba TOBA. Endelea kumuomba Mungu wako akufungulie Milango ya Baraka urudi kama Zamani...nakuhakikishia ukimtoa MOYONI utakuwa na AMANI sana...mbona Mimi nilifunguliwa Kesi yakutengeneza nikaenda JELA nilipotoka huyo MTU alihama mji akidhani naweza kumfanya Vibaya lkn wapi...nimeachana nae na Maisha yangu sasa yamerudi kwenye Mstari...please my Rafiki...siku nitakuja Inbox kukuambia zaidi..poleInauma mpaka natamani tujilipue wote bora watoto wabaki yatima ,najitahidi kuvumilia maisha yanavyoniwia magumu ndio hali ya malipizo inavyonijia sijawai kukaa dk 10 bila kufikilia na kujuta na hayo madogo niliyoeleza nikisema yote utoamini nilivumilia vipi na kwanini (alinifanyia dawa za kienyeji ) nae alishawai kukili,duniani kunawatu wanaloho mbaya shetani anasubili.
Koz gan mkuu,mi mwenyew nilifanya hio mistake lakn nikahama chuo baadae,Dah! Mimi najutia sana kwenda kusoma coz ya ajabu ajabu kweli UDOM...niliacha coz ya maana ya SUA Na Mzumbe nikakimbilia DOM..... Hilo jambo najutia hadi huu mda ninavyoandika hapa ....labda badae Mungu akinisaidia nitaacha kujutia.....
Mwambie cha mtu kinaliwa na mtuNajutia domozege langu, sasa hivi nikikutana nae huwa ananilaumu kweli kwanini sikusema mpaka akaolewa!
Ndo mfumo wetu wa elimu MTU unasoma soma tu bila kujuafuture yakoHuna kazi au???
Pole sana mkuu. Kwa kuwa Mungu hamtupi mja wake, ipo siku atakufungulia njia. Usichoke kumuomba.Mimi mwenzenu kwanza kila siku lazima nilie na Mungu, maishayangu ni shida sina ajira vyet nnavyo, ndoa yangu haina amani sjui nifanyeje niwe na raha mana napungua kilo kila siku.
Mkuu hi stori yako ina fanana na yangu 90% more thanAisee hapa jf pana raha sana.Aisee mimi nakumbuka nikiwa darasa la kwanza mamaangu mdogo akiwa form four huko kwa bibi nikawa nalazwa nae sasa ilikuwa ikifika night anachezea kadudu kangu ananipandisha juu nagonga weeee mpk akichoka ndo ananishusha,yaan kila usiku hadi mara nne kwan nilikuwa bado dogo wazungu walikuwa hawapo so yeye kila akiridhika ananishusha akijisikia tena ligi linaendelea.So kazi yake ilikuwa kila kuniosha,kunifulia kunipaka mafuta full maupendo yaan hakuna cha babu wala bibi waliojua hili kilichoniokoa ni uhimisho as shule,uwa nikimwona aunt hadi leo naona aibu sana Kwan naamin anajua nilishasahau nina 36 yeye ni mzee nadhan.Uwa namlaumu sana Kwan naona km aliniachia pepo la ngono ninapenda sana K jamani!!!
Ilikuwa mwaka gn mkuu, mi pia nastory kama hii naijutia sn ila nilofanikiwa tena but ningekuwa mbali snMimi nilipata nafasi ya mwenda jeshin ila nikagoma japo chuo nmepata course nzur(afya) ila hua najutia sana na nikimaliza lazima niende. (Wenzangu walioenda sasa nia maafisa wa jeshi japo wengine walitemwa). Nikikikumbuka hii nafasi hua maumia sanaaa.
Ulisomea kozi ipi mkuu??Mimi mwenzenu kwanza kila siku lazima nilie na Mungu, maishayangu ni shida sina ajira vyet nnavyo, ndoa yangu haina amani sjui nifanyeje niwe na raha mana napungua kilo kila siku.
Never blame on that,,,unaeza kwenda jeshini halafu pia ukajutiaIlikuwa mwaka gn mkuu, mi pia nastory kama hii naijutia sn ila nilofanikiwa tena but ningekuwa mbali sn
Bible is real... Jibu lako na la Adamu bustanini ni the same thing asee.[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.