Blessingmore
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 377
- 394
We kweli ni Heaven Sent..nimejaribu kupitiaa ushauri wako unatia moyo sana sana UbarikiweTo God be the Glory
Hahaha Acha zako bana

Acha hio tabia baba hapendiNajuta kumsukuma hadi kuanguka chini mwalimu wa masomo ya biashara pale sekondari huko njombe JINA KAPUNI. .(MIAKA HIYOOOO);
kisa kilikuwa wakati niko kidato cha nne kulikuwa na mwalimu aliyekuwa akifundisha masoma ya biashara yaani commerce na book-keeping. nikiwa mwanafunzi muhamiaji, mwalimu huyu alishoboka nami, maana nlikuwa mtoto si haba.
Mwalimu yule akanichagua kuwa MONITOR special wa masomo ya biashara kila mara alikuwa akiniita ofisini kwake hunishikashika kiunoni na kunibusu huku akihema kama nguruwe.tabia ile sikuipenda na ilinichikiza sana kila alipokuwa akiingia darasani haishi kunitolea mifano kwenye mambo kama ya goodwill, suppy and demand ,goods and service, just to mention a few. wanafunzi wenzangu walimwita SHEMEJI
siku moja nliamua kumtolea uvivu , alikuja darasani akasema wote tuonyeshe maksi zetu tulizopata katika mtihani wa MOCK wa b. maths. (mimi sikuwa nimepewa maana wakati mwalimu wa math anagawa sikuwepo na alikuwa anagawa mitihani hiyo kwa viboko maana wengi tulifeli.). nikamwambia mwalimu mie sijapata karatasi. ghafla nikaona aaanza kunipekua kwenye mifuko ya sketi mara akaingiza mkono kwenye sweta eti aangalie kama nimweka katika shati, wanafunzi wenzangu wakaanza kushangilia.....
nikapata hasira nikamsukuma mwalimu akaanguka nikachukua begi ya daftari nikaondoka zangu. kesho yake sasa ilikuwa kimbembe... nilipigwa fimbo na walimu zaid ya 100. nlikuwa siwezi hata kuinuka. nikasingiziwa makosa kibao.... mara eti nimekata sketi mbele ndefu nyuma fupi wasijue ni mambo ya bootiiii, mara mie mjeuri. nikageuziwa kesi eti mie ndo najigonga kwa mwalimu lol sitajasahau. nikaitwa ofisi ya mkuu wa shule alikuwa ameokoka . nikamweleza kila kitu. walimu walitaka nifukuzwe shule ila mkuu akasema nipigwe viboko vitano na nikashone sketi mpya hali akijua kabisa sina kosa. na hata sheti sio ilikuwa fupi nyuma ila kwa sababu ya churaaaaaa!
NINACHOKIJUTA MPAKA LEO ;WALIMU WALINIFANYIA HILA,kunifutia masomo yangu ya biashara kinyemela siku naingia kwenye mtihani wa taifa kufanya mtihani wa book-keeping jina langu halipo the same applies to the commerce. nililia sana.ukizingatia ndio masomo yaliokua yanapanda. kwani mock nlipata dision two;18
pamoja na hila zao nilipata divion four;26 nikiwa na ccb nikaenda private a'level. nikatusua kama kawa. japokuwa ndoto yangu ilikuwa ni kuwa mhasibu kama baba yangu lol.
Natamani ile ingenikuta hivi sasa ningemlia pesa yake yule mwalimu na angepata nunge lol
Pole Sana asee.... God's time z the best..Yaani jamaa ana roho mbaya mpk amenifanya kughaili make tangu tuliposhindwana akarudishiwa mahali siijui hata mia ya matunzo ya mtoto alafu ana kejeli na dharau mpk kwa wazazi wangu duh sijui nilikosea wapi![emoji135] hata kwenye mawasiliano hamtafuti mtoto akinitafuta nikamtolea nje mimi na familia yangu tunaoga matusi mpk hamu sina I hate him aisee!
Najuta kumsukuma hadi kuanguka chini mwalimu wa masomo ya biashara pale sekondari huko njombe JINA KAPUNI. .(MIAKA HIYOOOO);
kisa kilikuwa wakati niko kidato cha nne kulikuwa na mwalimu aliyekuwa akifundisha masoma ya biashara yaani commerce na book-keeping. nikiwa mwanafunzi muhamiaji, mwalimu huyu alishoboka nami, maana nlikuwa mtoto si haba.
Mwalimu yule akanichagua kuwa MONITOR special wa masomo ya biashara kila mara alikuwa akiniita ofisini kwake hunishikashika kiunoni na kunibusu huku akihema kama nguruwe.tabia ile sikuipenda na ilinichikiza sana kila alipokuwa akiingia darasani haishi kunitolea mifano kwenye mambo kama ya goodwill, suppy and demand ,goods and service, just to mention a few. wanafunzi wenzangu walimwita SHEMEJI
siku moja nliamua kumtolea uvivu , alikuja darasani akasema wote tuonyeshe maksi zetu tulizopata katika mtihani wa MOCK wa b. maths. (mimi sikuwa nimepewa maana wakati mwalimu wa math anagawa sikuwepo na alikuwa anagawa mitihani hiyo kwa viboko maana wengi tulifeli.). nikamwambia mwalimu mie sijapata karatasi. ghafla nikaona aaanza kunipekua kwenye mifuko ya sketi mara akaingiza mkono kwenye sweta eti aangalie kama nimweka katika shati, wanafunzi wenzangu wakaanza kushangilia.....
nikapata hasira nikamsukuma mwalimu akaanguka nikachukua begi ya daftari nikaondoka zangu. kesho yake sasa ilikuwa kimbembe... nilipigwa fimbo na walimu zaid ya 100. nlikuwa siwezi hata kuinuka. nikasingiziwa makosa kibao.... mara eti nimekata sketi mbele ndefu nyuma fupi wasijue ni mambo ya bootiiii, mara mie mjeuri. nikageuziwa kesi eti mie ndo najigonga kwa mwalimu lol sitajasahau. nikaitwa ofisi ya mkuu wa shule alikuwa ameokoka . nikamweleza kila kitu. walimu walitaka nifukuzwe shule ila mkuu akasema nipigwe viboko vitano na nikashone sketi mpya hali akijua kabisa sina kosa. na hata sheti sio ilikuwa fupi nyuma ila kwa sababu ya churaaaaaa!
NINACHOKIJUTA MPAKA LEO ;WALIMU WALINIFANYIA HILA,kunifutia masomo yangu ya biashara kinyemela siku naingia kwenye mtihani wa taifa kufanya mtihani wa book-keeping jina langu halipo the same applies to the commerce. nililia sana.ukizingatia ndio masomo yaliokua yanapanda. kwani mock nlipata dision two;18
pamoja na hila zao nilipata divion four;26 nikiwa na ccb nikaenda private a'level. nikatusua kama kawa. japokuwa ndoto yangu ilikuwa ni kuwa mhasibu kama baba yangu lol.
Natamani ile ingenikuta hivi sasa ningemlia pesa yake yule mwalimu na angepata nunge lol
KUHUSU KOZI NADHANI TUNAFANANA
NATAMANI KUANZA FORM FIVE
Hahahaaaa duh kumbe hisia zangu za kweli. Nilijua ni iringa maana huko kwa mabumunda ni balaa. Mie pia niliishi iringa kanisa langu lilikuwa rc mshindo. Ni kuna mabumunda hatari bila kusahau gubiti za kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
muttaz omba na picha Mkuu.. Mambo ya snura kwa wabantu c unajuaUna chura yaajabu hadi sketi inakuwa fupi?!
Hahahaha duuhKuishi ndani ya ndoa wote mke na mume hatupendani, hadi padre katupa go ahead,kesho kla mtu anachukua kilicho chake na kutawanyika
Nadhani atanifikiria kiongozi, chura anasababisha sketi ionekane fupi kwa nyuma!muttaz omba na picha Mkuu.. Mambo ya snura kwa wabantu c unajua
Nillikosea kutuma text ya kimahaba kwa shemeji yenu nkamtumia mother