Hilo si kosa..!!Kuzaliwa Tanzania ambayo inaongozwa na shetani ccm
OrdainedRelax, mkabidhi Mungu hitaji lako then endelea na maisha yako. Usiwe frustrated na kitu kimoja, kikakukoseshsa amani while una mambo mengine mia ya kushukuru na kukupa furaha. Usiwe desperate sana coz unaweza ukaishia kuangukia pua kwa sababu tu unataka kuoa mwaka fulani, ukishaingia ndani ya ndoa ndo unaona kumbe ulikurupuka. Usitake kuwa na deadline ya kuoa, ila concentration yako iwe juu ya aina ya mwanamke unayemuhitaji na juu ya kusudi la Mungu juu ya ndoa kwenye maisha yako. Ukishayajua hayo, then hutojali kuhusu muda. Let love find you + everything happens in God's perfect time
To God be the GloryOrdained
daughter
...katika ubora wake, yule jamaa ni mwenye bahati sana.
najutia kukosa subira dhidi ya ex wangu ambaye ni wife material.NILIMPIGA TUKASEPARATE NA HAKUNISAMEHE MPAKA KESHO SITARUDIA TENA KUPIGA MWANAMKE .MUNGU NIJAALIE SUBIRA.
Najuta nilivyo mvumilia mwanaume miaka 20 bila matunzo na kujimudu mwenyewe kimaisha na kulea watoto mwenyewe yeye analeta pumbu tu na kipigo juu na alikuwa mdokozi wa vijisenti vyangu vya biashara nikamvumilia tu sababu akutetelesha msingi wangu lakini kilicho nifanya nilivue pendo na mwishoo wangu kwake na kilio kikubwa zaidi ya majuto alicho nifanyia kuniibia pesa zangu zote za mtaji mpaka sasa natangatanga nadaiwa pesa za mashure (private) mpaka wamenichoka kulialia wakati enzi zangu ilikuwa pesa ya madafu kulipia watoto 4 najuta kumvumlia mwanaume malio na kupoteza muda wangu na umri wangu wa ujana nikitegemea ataacha yanii daaa! Simsame mpaka uchumi wangu urudi tena ata Nikifa asije kwenye mazishi yangu ata jeneza asiguse atakuwa ananijoki tu nae anajua haya![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Lady japokuwa hujafunguka ila nimekuelewa sana tu. Hii sehemu mabinti wengi sana tunaangukia pia. Yani sisi as long as tumependana na tumeulizwa "will you marry me", aah basi tunajua kazi imeisha . Hujui familia/ukoo wao ukoje, kuna vitu gani vya asili (mila na desturi), maagano, wanaishije (kuna upendo au utengano)n.k. Kuna familia mama ndo final say, baba katulia tu, watoto wote wanajitegemea huko ila mama ndo remote yao, kaolewe sasa utake kumcontrol mumeo ndo mpambane na mama mkwe vizuri.Kuolewa kwenye familia nisiyoifahamu.....
Kuolewa kwenye familia nisiyoifahamu.....
Hahaha... ungejua jinsi vimeo vyenyewe vilivyonipelekesha!! Ndio maana usishangae mtu anaendesha vogue huku amekunja sura utafikiri amekalia mwiba
ni wangu.i provide everything for the kid except that i cant be with him any time i want.nikikaa nae karibu hata kwa 10 mins najua 'hakuna usalama'.....siku zinavyozidi kwenda nagundua bado nampenda sana sana sana..illa dah.tuwe makini na maamuzi yetu wakuu...
Lady japokuwa hujafunguka ila nimekuelewa sana tu. Hii sehemu mabinti wengi sana tunaangukia pia. Yani sisi as long as tumependana na tumeulizwa "will you marry me", aah basi tunajua kazi imeisha . Hujui familia/ukoo waao ikoje, kuna vitu gani vya asili (mila na desturi), maagano, wanaishije (kuna upendo au utengano)n.k. Kuna familia mama ndo final say, baba katulia tu, watoto wote wanajitegemea huko ila mama ndo remote yao, kaolewe sasa utake kumcontrol mumeo ndo mpambane na mama mkwe vizuri.
Wengi tunakutana kimjini mjini, tunaamini tutaishi hivyo hivyo kimjini mjini, ila ukija kukutana na familia yake ndo unachoka mwili na roho. Na wengine huwa tunajiaminisha tunaolewa na mume, kumbe unaolewa na familia nzima mwee
Mabumunda yalikuponza ukala pesa ya sadaka[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.
Ilikuwaje baada ya hapo HahahahahaNilitembea n mwanafunz nikijua anajielewa kmbe kchwa box, matokeo yke mimba "njee" nilkoma kuringa, matokeo yke kilichojili n siri yng
Ulitaka uwe nani mkuu?Najuta kuwa mimi. .
Uuh pole my dear, usichoke kuomba. Mkabidhi Mungu vita iliyopo juu Ya ndoa na kizazi chako. Mkabidhi yeye akashughulike nayo.Yaan wewe ni mtabiri, as if unaifahamu hiyo familia. Oooh Lord have mercy, Mungu tu aingilie kati.
hauko peke yako mkuu, tupo wengi.
Nilitaka niwe mimi lakini sio kama nilivyo.Ulitaka uwe nani mkuu?
mkuu, hii NYUNDO uliyopiga hapa umebomoa umemaliza kabisa...siongezi kitu.Lady japokuwa hujafunguka ila nimekuelewa sana tu. Hii sehemu mabinti wengi sana tunaangukia pia. Yani sisi as long as tumependana na tumeulizwa "will you marry me", aah basi tunajua kazi imeisha . Hujui familia/ukoo wao ukoje, kuna vitu gani vya asili (mila na desturi), maagano, wanaishije (kuna upendo au utengano)n.k. Kuna familia mama ndo final say, baba katulia tu, watoto wote wanajitegemea huko ila mama ndo remote yao, kaolewe sasa utake kumcontrol mumeo ndo mpambane na mama mkwe vizuri.
Wengi tunakutana kimjini mjini, tunaamini tutaishi hivyo hivyo kimjini mjini, ila ukija kukutana na familia yake ndo unachoka mwili na roho. Na wengine huwa tunajiaminisha tunaolewa na mume, kumbe unaolewa na familia nzima mwee