Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,246
- 12,796
Kuna wakati huwa nawaza kuwa Mungu ni kaka yangu, yaani nikiharibu tena kwa makusudi yeye anarekebisha hadi sasa sina Ninachoweza kujutia japo nimeharibu saaaana!...nimepiga migegedo ya one night stand na watu kutoka makundi hatarishi na bado ameniepusha na ngoma(Ee Baba sitarudia kukujaribu)
Mwaka juzi nililazimisha kwenda chuo kikuu baada ya mwajiri wangu kuninyima ruhusa ki- mizengwe nimesoma miaka miwili huku mshahara wangu unaingia fresh japo kwenye file langu huko kazini ilikuwemo barua ya utoro kazini, nilikuwa najipa matumaini ya kupata kazi safi baada ya kumaliza degree yangu (kazi ya awali sikuwa naipenda japo nimejenga na kusomesha kwa kazi hii). Muziki ulianza kunoga baada ya utawala wa Magu kuanza kazi, kozi yangu ikapigwa stop kuwa ni feki....dah! Watumishi hewa wakaanza kusakwa.....kufupisha tu, nipo kwenye kazi yangu ya zamani, chuo staki tena kusikia maana ni Kama nilikurupuka.
Unaweza kuona jinsi majuto yalivyokuwa yanakuja ila huyu kaka yangu akasolve kiaina!