Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Dah kaka hila si una mlea dogo?
Baada ya hiko kisa na vingne ving nlijikuta biashara zangu zikifa kwa msongo wa mawazo so kiukweli mm ni msaada mdogo sana kwa mtoto!!! Babu yake upande wa mama ndiye anamlea maana ni mtu mwenye uwezo maana ni mfanyabiashara mkubwa babati mjini!!mtu pekee niliewah kumsimulia kisa cha kukaata mimba ni yy na nlipomsimulia alijikuta akiniomba msamaha maana alikuwa akinichukia sana kumbe kosa la mwanae
 
Dah poa poa kaka nimejifunza kitu
 
Dah poa poa kaka nimejifunza kitu
Mm nlitumia ujana vibaya sana nahs....hapa nilipo nina watoto wa 3 wa kiume ila wote mama tofaut na wote nimekutana nao wana zaidi ya mwaka mmoja!!!kwa sasa ndo naelekea kutimiza miaka 25!!!!mzee hajui kama kuna ,watoto maana kuna mwanamke nlizaaga nae mtoto akafaliki na ndo mzee anakomalia nimuoe na anampenda sana!!!mlimaliza bachelor in banking and finance pale ifm mwaka jana ndo kwanza nina mwana mmoja nkasema nisimamie biznes za mzee ila kwa ss npo course jeshini maana bznes zilianguka zote kwa msongo wa mawazo...dah
 
Najuta kupata A ya kiswahili necta form 2 kwani ilikuja kuua ndoto zangu za kusoma science kwani walimu waliamini nayaweza masomo ya arts zaidi wakati nilibahatisha

Najuta kusoma sana form 4 kwani nilifaulu sana na kuishia kupelekwa special school ambako niliishia kubezwa na kuonekana ******
Hahahahaaa walikukula kichwa uliitwa k.ilaza[emoji3]
 
Mm nlitumia ujana vibaya sana nahs....hapa nilipo nina watoto wa 3 wa kiume ila wote mama tofaut na wote nimekutana nao wana zaidi ya mwaka mmoja!!!kwa sasa ndo naelekea kutimiza miaka 25!!!!mzee hajui kama kuna ,watoto maana kuna mwanamke nlizaaga nae mtoto akafaliki na ndo mzee anakomalia nimuoe na anampenda sana!!!mlimaliza bachelor in banking and finance pale ifm mwaka jana ndo kwanza nina mwana mmoja nkasema nisimamie biznes za mzee ila kwa ss npo course jeshini maana bznes zilianguka zote kwa msongo wa mawazo...dah
ndo maisha brother,,,hivi kumbe mafunzo ya jeshi yashaanza!!!
 
Ujana ulinipumbaza nikakataa mimba wakat npo nzega...aibu ikaja baada ya miaka miwili npo sehem nimekaa na dada zangu akaja mtoto wa kiume wa miaka 2 ananisalimia"chiikamoo baba" nkiangalia mtoto simfaham ila kafanana na mimi balaa ghafla mama yake ambae ni bint nlikataaga ujauzito akaja!mtoto akazd kunidhalilisha akiniuliza ulikuwa wap baba....nlitaman dunia ipasuke maana aibu ile sitaisahau!!!
du, pole sana mkuu. usikatae mimba hata kama umezaa na kiangudoa kwani mtoto hana hatia yeyote.
 
Moja kati ka kisa ambacho ni hiki.....mzee alinipa pesa nkampe mzee flan ambae alikuwa swahiba wake kinyama ...nlikuwa nimetoka kumwomba mzee pesa ya kifu flani akasema hana so nlkaslika mzee kuninyma pesa nliyomwomba afu ananipa pesa nimpelekee mtu baki,nliamua kuila ile pesa na mzee nkamwambia nlipeleka!!kumbe ile pesa yule mtu ilikuwa anunue dawa za plesha so kwakukosa pesa zile yule mtuu alikuja kufa kwa plesha!!!hosptal walisema kafa kwa kuchelewa kutumia dawa na mzee alilaum sana kwann hakununua!!alikuwa swahiba wa mzee na mpaka leo mzee hajui na kila napomwangalia najiona mwenye hatia kinoma!!!
Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Mungu akusamehe kwa kosa hili ulilotenda mkuu. Hii ni hatari sana.
 
Tengeneza picha ni ww...ilikuwa aibu!! Dada na ndgu wengne walibaki wanatoa machozi na mama mdogo nlimwona akipga goti ardhini akimsih msichana asamehe!!!kwa aibu nkataka kukimbia nkiwa sijielew ila mtoto akauliza"baba unaondoka tena (ktk saut ya kitoto)!!!
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! So sad!
 
Mm nlitumia ujana vibaya sana nahs....hapa nilipo nina watoto wa 3 wa kiume ila wote mama tofaut na wote nimekutana nao wana zaidi ya mwaka mmoja!!!kwa sasa ndo naelekea kutimiza miaka 25!!!!mzee hajui kama kuna ,watoto maana kuna mwanamke nlizaaga nae mtoto akafaliki na ndo mzee anakomalia nimuoe na anampenda sana!!!mlimaliza bachelor in banking and finance pale ifm mwaka jana ndo kwanza nina mwana mmoja nkasema nisimamie biznes za mzee ila kwa ss npo course jeshini maana bznes zilianguka zote kwa msongo wa mawazo...dah
Haaaaaaaah mjombaa ulikuwa ufai bhna we hatari
 
Mi najutia kusoma SUA wakati huo nilikuwa na multiple admission ya SUA na UDSM. Ninajutia maana probation za zilinitesa sana hasa jamaa moja anaitwa SEMBUCHE. Ila naendelea kujuta pia kwa kozi niliosomea maana haina maslahi kabisa na haina heshima
Sembuche na Mathematics zake alikuwa anatesa watu kweli!!! Umenikumbusha mbali[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nafikiri kosa la kuanza shule na umri mkubwa halikuwa kosa lako.Hilo ni la wazazi maana kuanza shule kwa ninavyoelewa mtoto hana maamuzi yoyote kwa familia zetu nyingi za kiafrika.!!
Kwa hiyo wala usilijutie mkuu!!
tpaul hayo maneno ni kweli kabisa….. Matatizo mengi tuliyo nayo yamesababishwa na wazazi
 
Back
Top Bottom