Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Uoga ni kitu mbaya sana na mimi imeniathiri,,,ila kwakua ww sahz ni super human, najua uoga ushaisha mkuu
kweli mkuu Savimbi, Sa ivi Nina confidence zote, maana ni bora nikosee sio kuogopa kufanya maamuzi kwenye mambo ya msingi
 
kweli mkuu Savimbi, Sa ivi Nina confidence zote, maana ni bora nikosee sio kuogopa kufanya maamuzi kwenye mambo ya msingi
Hebu nshirikishe mkuu ulikua muoga kwenye lipi,,,,mimi nlikua muoga kusoma darasa moja na watu vipanga darasani na kuacha kusoma physics form three ilihali form two nlifauru vizuri hiyo sayansi,,,but now najuuuta kuchukua arts maana i wished to be a doctor lakin ndo hvo tena sababu tu ya UOGA
 
huu uzi sijajua umekusudia watu kutoa dukuduku zao za "MAJUTO", au machungu ya "SINTOSAHAU"
 
Hebu nshirikishe mkuu ulikua muoga kwenye lipi,,,,mimi nlikua muoga kusoma darasa moja na watu vipanga darasani na kuacha kusoma physics form three ilihali form two nlifauru vizuri hiyo sayansi,,,but now najuuuta kuchukua arts maana i wished to be a doctor lakin ndo hvo tena sababu tu ya UOGA
Kuna wageni walikuja shuleni nikiwa form two,waliku kutoka UK tukachaguliwa wanafunz wachache kwenda
nao those time nilikua muongeaji sana nikampa proposal mmoja anisaidie mrad wa kufuga n'gombe wa maziwa akanipromise nimuone badae since hapo teacher mmoja Mkali sana pale shuleni akawa anaambatana nae hapo nikaanza kuogopa kumkumbusha akiwa karb na teacher kisa nahofu ticha ataniona omba omba anitimue shule, na alibanana nae hadi wanaondoka. Kila nikikumbuka na enzi izo nilikua entrepreneur kweli kweli, na mazingira yalinifavour napata hasira sana
 
Daaah pole mkuu,,,kumbe mr teacher nae alitumia fursa hiyo fasta,,BTW nikupongeze kwa kuwa risk taker wa entreprenuership tangu form two maana sio wote wana roho hiyo
 
Tengeneza picha ni ww...ilikuwa aibu!! Dada na ndgu wengne walibaki wanatoa machozi na mama mdogo nlimwona akipga goti ardhini akimsih msichana asamehe!!!kwa aibu nkataka kukimbia nkiwa sijielew ila mtoto akauliza"baba unaondoka tena (ktk saut ya kitoto)!!!
Hii story imenitoa machozi maana naona kama namuona mtoto anavyoongea kwa sauti ya kipole na kinyonge alafu mama kakaa pembeni kimya anaangalishoo kimyakimya macho ndio yanatafsiri hapo
 
Hahahahahaha,anyway ulishamwiita mwizi nadhan ulimpa haki yake kabisa kosa km ungelimtoa roho au kumpa kilema cha maisha ungejilaumu sana mpk uzeeni mwako
 
Hii story imenitoa machozi maana naona kama namuona mtoto anavyoongea kwa sauti ya kipole na kinyonge alafu mama kakaa pembeni kimya anaangalishoo kimyakimya macho ndio yanatafsiri hapo
mama mdogo yangu alipiga goti ardhin huku nkimskia akisema "monica msamehe mwanangu nipo hapa chini ya magot yako kwa niaba ya mama yake aliye chini ya hii ardhi nliyopga goti"ntakufa na hii nahsi
 
Aisee hapa jf pana raha sana.Aisee mimi nakumbuka nikiwa darasa la kwanza mamaangu mdogo akiwa form four huko kwa bibi nikawa nalazwa nae sasa ilikuwa ikifika night anachezea kadudu kangu ananipandisha juu nagonga weeee mpk akichoka ndo ananishusha,yaan kila usiku hadi mara nne kwan nilikuwa bado dogo wazungu walikuwa hawapo so yeye kila akiridhika ananishusha akijisikia tena ligi linaendelea.So kazi yake ilikuwa kila kuniosha,kunifulia kunipaka mafuta full maupendo yaan hakuna cha babu wala bibi waliojua hili kilichoniokoa ni uhimisho as shule,uwa nikimwona aunt hadi leo naona aibu sana Kwan naamin anajua nilishasahau nina 36 yeye ni mzee nadhan.Uwa namlaumu sana Kwan naona km aliniachia pepo la ngono ninapenda sana K jamani!!!
 
Moja kati ka kisa ambacho ni hiki.....mzee alinipa pesa nkampe mzee flan ambae alikuwa swahiba wake kinyama ...nlikuwa nimetoka kumwomba mzee pesa ya kifu flani akasema hana so nlkaslika mzee kuninyma pesa nliyomwomba afu ananipa pesa nimpelekee mtu baki,nliamua kuila ile pesa na mzee nkamwambia nlipeleka!!kumbe ile pesa yule mtu ilikuwa anunue dawa za plesha so kwakukosa pesa zile yule mtuu alikuja kufa kwa plesha!!!hosptal walisema kafa kwa kuchelewa kutumia dawa na mzee alilaum sana kwann hakununua!!alikuwa swahiba wa mzee na mpaka leo mzee hajui na kila napomwangalia najiona mwenye hatia kinoma!!!
Aisee mkulu uliua jaman!Ila Mungu akusamehe na jaribu kusahau hili jambo
 
Aisee mkulu uliua jaman!Ila Mungu akusamehe na jaribu kusahau hili jambo
ndo hivo.....ndo mana nkiwaga na pesa kidogo huwa napenda kuwakumbuka watoto wa marehem japo kwa unga,sukar,mchele nk hadi kun mda huwa wanashangaa inakuaje nkuwa mwema sana kwao!!!!kama mungu aki akimua kuniadhibu dunian na mbingun ntapokea tuu adhabu!!!kama atalipa mauti kwa mauti huwa naomba anichukue mm sio mtoto wangu!!
 
Yap unafanya vyema kaka but unaweza kujikuta unajilaumu bure kumbe kifo kilikuwa mipango ya Mungu So husijione una hatia ukizingatia ugonjwa wa moyo hasingechomoka omba Mungu na jitahidi kusahau,make tuna matukio makubwa ambayo yametokea ktk maisha ambayo hapa si salama
 
Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Mkuu inatokeaga. Usijisikie vibaya au ukafikiria tatizo ni Nyota.... Tatizo ni "muda", muda wako bado kidogo
 
Najuta kuendelea na masomo baada ya kuhitimu 4M4....naamini kama ningeishia pale na baada ya kufaulu vizuri hapakuwa na haja ya kuendelea na shule....ila social/family pressure ndio zimenibebesha hii mizigo isiyo ya lazima.....najuta sana.
"Elimu ndio ufunguo wa maisha". Kwanini mkuu unajuta kuendelea kusoma?
 
Hivi ile kesi ya City Boy, mlisha imaliza[emoji15] [emoji15]
Juzi nilikua pale nyakanazi beria, nikaliona bus la City Boy linapita tena likiwa na abiria.
Hapa nawaza ile siku tulipo aminishwa na serikali kwamba kampuni hiyo ilifungiwa na iianyang'anywa leseni......
Kiukweli nilichoka na nikakosa hata wa kumuuliza
 
"Elimu ndio ufunguo wa maisha". Kwanini mkuu unajuta kuendelea kusoma?
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu...'ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA''...Lakini kufika 4m4 nilikuwa nishajipatia basic education.A-level unarudia uliyosoma O-level na Chuo unasomea kazi ambayo siyo lazima kuja kuifanya.Kwa mtazamo wangu, baada ya kupata basic education(hadi 4m4) ningetafuta carrier ya kujikita na baadae nikasomee kuhusu hiyo carrier hata kama ni kozi fupi fupi.

Elimu ni kama jembe na carrier ni shamba....nilitakiwa kupata kwanza shamba ili nijue nalima kwa jembe gani, rato ama jembe bapa? na ukubwa wa shamba pia ili nijue nitumie jembe la mkono ama trekta?...Elimu yetu ipo off target sana, haiendani na mazingira yetu na ndio sababu vijana wanalilia utumwa unaoitwa ajira maana majembe waliyobeba hayafai kulimia mashamba yao.
 
Back
Top Bottom