Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Najuta kuoa mke nisiempenda
Pole sana mkuu ila hauko peke yako tupo wengi. Hawa majike mwanzoni hujifanya malaika lakini wakishatia timu ndani hugeuka kuwa nyoka wenye sumu kali. Wanawake ni nyoka kuliko unavyowafahamu.
 
Yeah! Namjua sana mkuu. Ni mwalimu mzuri wa hesabu.
Anajua hesabu lakini hajui kufundisha. Anaandika huku kafunika ubao na matumizi ya ubao hana mpangilio na akiandika kabla hata hujanukuu keshafuta. SEMBUCHE siyo kabisa
 
Ujana ulinipumbaza nikakataa mimba wakat npo nzega...aibu ikaja baada ya miaka miwili npo sehem nimekaa na dada zangu akaja mtoto wa kiume wa miaka 2 ananisalimia"chiikamoo baba" nkiangalia mtoto simfaham ila kafanana na mimi balaa ghafla mama yake ambae ni bint nlikataaga ujauzito akaja!mtoto akazd kunidhalilisha akiniuliza ulikuwa wap baba....nlitaman dunia ipasuke maana aibu ile sitaisahau!!!
 
Duh so ulifanyaje mkuu??
 
Tengeneza picha ni ww...ilikuwa aibu!! Dada na ndgu wengne walibaki wanatoa machozi na mama mdogo nlimwona akipga goti ardhini akimsih msichana asamehe!!!kwa aibu nkataka kukimbia nkiwa sijielew ila mtoto akauliza"baba unaondoka tena (ktk saut ya kitoto)!!!
Aibu sanaa bro dgo saiv ana umri gani??? Dah aibu sana dah so mtoto uko nae?
 
Mm nilibeba hiyo aibu ili kulinda heshima ya mama wa mtoto maana nliahd nafsi yangu kuwa nitabeba lawama zote kama malipo yangu...ila kama ningefungua mdomo kutoa utetez wangu ya kwann nlikataa mimba mama mtoto aibu ilikuwa yake!!!!no dogo kwa ss yupo nzega pale mitaa ya kanisa katoliki na mama yake maana mama yake hakutaka kuludiana na mm!!
 
Dah kaka hila si una mlea dogo?
 
Back
Top Bottom