dekitambi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 663
- 764
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahah, mimi ilienda kwa BABA, tena yalikua yale ma sex phone, nilitamani nivunje simu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahah, mimi ilienda kwa BABA, tena yalikua yale ma sex phone, nilitamani nivunje simu
Du pole sana mkuu. Huyo mwalimu alikuwa kauzu kuliko dagaa na alaaniwe kwa tabia yake hiyo chafu. Kumbe kuna walimu wapuuzi kiasi hiki?Najuta kumsukuma hadi kuanguka chini mwalimu wa masomo ya biashara pale sekondari huko njombe JINA KAPUNI. .(MIAKA HIYOOOO);
kisa kilikuwa wakati niko kidato cha nne kulikuwa na mwalimu aliyekuwa akifundisha masoma ya biashara yaani commerce na book-keeping. nikiwa mwanafunzi muhamiaji, mwalimu huyu alishoboka nami, maana nlikuwa mtoto si haba.
Mwalimu yule akanichagua kuwa MONITOR special wa masomo ya biashara kila mara alikuwa akiniita ofisini kwake hunishikashika kiunoni na kunibusu huku akihema kama nguruwe.tabia ile sikuipenda na ilinichikiza sana kila alipokuwa akiingia darasani haishi kunitolea mifano kwenye mambo kama ya goodwill, suppy and demand ,goods and service, just to mention a few. wanafunzi wenzangu walimwita SHEMEJI
siku moja nliamua kumtolea uvivu , alikuja darasani akasema wote tuonyeshe maksi zetu tulizopata katika mtihani wa MOCK wa b. maths. (mimi sikuwa nimepewa maana wakati mwalimu wa math anagawa sikuwepo na alikuwa anagawa mitihani hiyo kwa viboko maana wengi tulifeli.). nikamwambia mwalimu mie sijapata karatasi. ghafla nikaona aaanza kunipekua kwenye mifuko ya sketi mara akaingiza mkono kwenye sweta eti aangalie kama nimweka katika shati, wanafunzi wenzangu wakaanza kushangilia.....
nikapata hasira nikamsukuma mwalimu akaanguka nikachukua begi ya daftari nikaondoka zangu. kesho yake sasa ilikuwa kimbembe... nilipigwa fimbo na walimu zaid ya 100. nlikuwa siwezi hata kuinuka. nikasingiziwa makosa kibao.... mara eti nimekata sketi mbele ndefu nyuma fupi wasijue ni mambo ya bootiiii, mara mie mjeuri. nikageuziwa kesi eti mie ndo najigonga kwa mwalimu lol sitajasahau. nikaitwa ofisi ya mkuu wa shule alikuwa ameokoka . nikamweleza kila kitu. walimu walitaka nifukuzwe shule ila mkuu akasema nipigwe viboko vitano na nikashone sketi mpya hali akijua kabisa sina kosa. na hata sheti sio ilikuwa fupi nyuma ila kwa sababu ya churaaaaaa!
NINACHOKIJUTA MPAKA LEO ;WALIMU WALINIFANYIA HILA,kunifutia masomo yangu ya biashara kinyemela siku naingia kwenye mtihani wa taifa kufanya mtihani wa book-keeping jina langu halipo the same applies to the commerce. nililia sana.ukizingatia ndio masomo yaliokua yanapanda. kwani mock nlipata dision two;18
pamoja na hila zao nilipata divion four;26 nikiwa na ccb nikaenda private a'level. nikatusua kama kawa. japokuwa ndoto yangu ilikuwa ni kuwa mhasibu kama baba yangu lol.
Natamani ile ingenikuta hivi sasa ningemlia pesa yake yule mwalimu na angepata nunge lol
fanya utafiti kwa wanafunzi wenye chura urefu wa sheti yake mbele na nyuma ndo uje a huo mshangao.Una chura yaajabu hadi sketi inakuwa fupi?!
Katika maisha yako huenda kuna kosa moja ulilotenda ambalo unajutia kulifanya na kama ungepewa nafasi usingerudia tena.
Mimi katika maisha yangu kosa kubwa nililotenda na ambalo nitalijutia katika maisha yangu yote ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miak 25. Kwa bahati nzuri nikafaulu kwenda sekondari na kuanza kidato cha kwanza nikiwa na umri wa miaka 26. Bahati nzuri ni kwamba zamani hakukuwa na age sealing. Ingekuwa zama hizi nisingeruhusiwa kusoma shule. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kuondoa ubaguzi wa kiumri kwenye elimu.
Nimesoma hivyo hivyo nikiwa babu hadi nimehitimu kidato cha sita. Kosa la pili ambalo nalijutia ni kusoma kozi ya ajabu ajabu ambayo haina tija wala mantiki ya kimaisha. Kama umri ungekuwa unaweza kurudishwa nyuma nikarudi kuwa mvulana kamwe nisingesoma kozi hii niliyosoma. Ningejitahidi nisomee udaktari au sheria.
Je, kuna kosa gani ulilotenda katika maisha yako ambalo litaendelea kukutesa maisha yako yote na ambalo usingependa kulirudia kama ungepewa nafasi ya kujisahihisha?
bila shaka ulibabaika na majengo mkuuDah! Mimi najutia sana kwenda kusoma coz ya ajabu ajabu kweli UDOM...niliacha coz ya maana ya SUA Na Mzumbe nikakimbilia DOM..... Hilo jambo najutia hadi huu mda ninavyoandika hapa ....labda badae Mungu akinisaidia nitaacha kujutia.....
why mkuuNajuta kusoma course ya taxation ifm najutaaaaa mnooooo
Ndo mana nasemaga huna akili wewe hadi unagongewa. Next time unagongwa wwNilimkuta Demu wangu anabanduliwa mubashara nami nikaomba kolabo kwa Mgoni wangu huku nikiwa nimemkata Jamaa ( mgoni ) wangu Shingoni kusudi nikimaliza " kumbandua " Demu wangu niweze kupambana nae lakini kadri nilivyokuwa nauchomeka " mkuyenge " wangu kwa Demu wangu nikajikuta utamu unazidi na mwenyewe kumwachia Jamaa na kumruhusu aondoke zake tu na kumkanya asirudie tena siku nyingine. Nakijutia sikijutii hiki kitendo.
Sio aibu hiyo hata kidogo. Ni FedhehaAibu sanaa bro dgo saiv ana umri gani??? Dah aibu sana dah so mtoto uko nae?
Pole mtoto wa Mafinga, afu utakuwa na Chura si haba.Najuta kumsukuma hadi kuanguka chini mwalimu wa masomo ya biashara pale sekondari huko njombe JINA KAPUNI. .(MIAKA HIYOOOO);
kisa kilikuwa wakati niko kidato cha nne kulikuwa na mwalimu aliyekuwa akifundisha masoma ya biashara yaani commerce na book-keeping. nikiwa mwanafunzi muhamiaji, mwalimu huyu alishoboka nami, maana nlikuwa mtoto si haba.
Mwalimu yule akanichagua kuwa MONITOR special wa masomo ya biashara kila mara alikuwa akiniita ofisini kwake hunishikashika kiunoni na kunibusu huku akihema kama nguruwe.tabia ile sikuipenda na ilinichikiza sana kila alipokuwa akiingia darasani haishi kunitolea mifano kwenye mambo kama ya goodwill, suppy and demand ,goods and service, just to mention a few. wanafunzi wenzangu walimwita SHEMEJI
siku moja nliamua kumtolea uvivu , alikuja darasani akasema wote tuonyeshe maksi zetu tulizopata katika mtihani wa MOCK wa b. maths. (mimi sikuwa nimepewa maana wakati mwalimu wa math anagawa sikuwepo na alikuwa anagawa mitihani hiyo kwa viboko maana wengi tulifeli.). nikamwambia mwalimu mie sijapata karatasi. ghafla nikaona aaanza kunipekua kwenye mifuko ya sketi mara akaingiza mkono kwenye sweta eti aangalie kama nimweka katika shati, wanafunzi wenzangu wakaanza kushangilia.....
nikapata hasira nikamsukuma mwalimu akaanguka nikachukua begi ya daftari nikaondoka zangu. kesho yake sasa ilikuwa kimbembe... nilipigwa fimbo na walimu zaid ya 100. nlikuwa siwezi hata kuinuka. nikasingiziwa makosa kibao.... mara eti nimekata sketi mbele ndefu nyuma fupi wasijue ni mambo ya bootiiii, mara mie mjeuri. nikageuziwa kesi eti mie ndo najigonga kwa mwalimu lol sitajasahau. nikaitwa ofisi ya mkuu wa shule alikuwa ameokoka . nikamweleza kila kitu. walimu walitaka nifukuzwe shule ila mkuu akasema nipigwe viboko vitano na nikashone sketi mpya hali akijua kabisa sina kosa. na hata sheti sio ilikuwa fupi nyuma ila kwa sababu ya churaaaaaa!
NINACHOKIJUTA MPAKA LEO ;WALIMU WALINIFANYIA HILA,kunifutia masomo yangu ya biashara kinyemela siku naingia kwenye mtihani wa taifa kufanya mtihani wa book-keeping jina langu halipo the same applies to the commerce. nililia sana.ukizingatia ndio masomo yaliokua yanapanda. kwani mock nlipata dision two;18
pamoja na hila zao nilipata divion four;26 nikiwa na ccb nikaenda private a'level. nikatusua kama kawa. japokuwa ndoto yangu ilikuwa ni kuwa mhasibu kama baba yangu lol.
Natamani ile ingenikuta hivi sasa ningemlia pesa yake yule mwalimu na angepata nunge lol
Pole! dadavua kidogo nduguKukosea kuchagua mwanamke wa kumuoa .
.....yamwage hapa watu wajifunze mkuu.
du pole sana mkuu...tubu kwa mola wako atakusamehe. mwendokasi unaua!Siku moja huko nyuma nilikua naendesha gari moja ya kijerumani.. dah nikaamua nijaribu kuzifikisha speed zile za ukweli..! Zile 200+.. kwa bahati mbaya sana kwenye kona flani hivi nikiwa kwenye site yangu.. nikaona ghafla watu kama saba hivi wapo pembeni yangu upande wa kushoto..! Walikua jamaa kama nane hivi..! Watatu kwa ghafla wakaingia kwenye ile yellow line kwa ndani na mimi nilikua 200+.. mkuu niliwazoa mazima.. niliogopa sana yani..! Moyo mmoja ukaniambia nisimame na mwingine ukaniambia nikimbie..! Na kwa splitsecond iyo nilikanyaga brake..! Na apo apo nikaachia mafuta..! Ila wakati huo naskia sauti ya kuburuzwa kwa bamper ya mbele na ilikua usiku nikaona mwanga wa mbele umefifia.. mzazi niliamsha ile mashine..! Niliamsha mbaya..! Baada ya siku kama tano hivi kwa ule mshtuko baada ya kufika safari yangu..! Nikapelega gari garage na kutunga story nzuri tu..! Ndipo nikaamua kurudi safari njia ile na kuamua kusimama maeneo yale (this time nilikua na gari ya mshkaji wangu)..! Asee kilicho niuma ni kwamba nilikuta msiba wa watu watatu.. na mmoja alikua kilema.. bro nilijikaza sana..! Na nikakuta watu wanalalamika kwamba hawa watu wanaopita njia hii wanakimbia sana..! Kaka niliumia mno kwa kujaribu high speed kizembe na kupelekea kifo cha jamaa..! Dah yani niliumia njia nzima..! Na nili late sana kurudi kwenye makazi yangu..! Laiti ningalikua kwenye speed ndogo ningali weza kuwakwepa wale jamaa.. lakini kwasababu ilikua speed kali nilishindwa..! Asee nikikumbuka inaniuma kweli yani..!
ANGENIUAdu, ila mother huwa hawana noumer sana....sipati picha kama ingeenda kwa dingi hali ingekuwaje.