Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Unanikosea sana best..hahaha mm nilikua mkorofi sana hom..ila shule i was cool..nilikorofishwa zaidi twin wangu alivyofariki nilkua nawaza kuua familia nzima..nashukuru Mungu ile hali iliendelea kuisha taratibu...nilipanga kuua wote...niliumia sana..niliona hakuna anayeumia km mm..dah
Pole!
 
Haujapoteza ndg. Kwan elimu ni asset. Naamini utafanikiwa ndg.
kama haujautumia mda mrefu haina maana yeyote na pia elimu ya sasa tunayofundishwa haina uhalisia na age tulioko kwahiyo inawapa wigo mdogo sana kuigeuza kuwa maarifa .....the system has fail
 
Unanikosea sana best..hahaha mm nilikua mkorofi sana hom..ila shule i was cool..nilikorofishwa zaidi twin wangu alivyofariki nilkua nawaza kuua familia nzima..nashukuru Mungu ile hali iliendelea kuisha taratibu...nilipanga kuua wote...niliumia sana..niliona hakuna anayeumia km mm..dah
Pole sana.

Kwenye mapacha mara nyingi kuna mpole na mtundu, wewe utakua ni yule mpole.
 
kama haujautumia mda mrefu haina maana yeyote na pia elimu ya sasa tunayofundishwa haina uhalisia na age tulioko kwahiyo inawapa wigo mdogo sana kuigeuza kuwa maarifa .....the system has fail
Ni kweli Kama mtu asipojiongeza hawezi kufanikiwa.
Ila elimu hata kama elimu mfumo wake sio mzuri. Inamsaidia MTU kuwa na uwezo wa kutengeneza fursa na kuona mbali.
Tatizo ni kwamba MTU anapopata elimu anawaza fursa ambazo anadhani ni hadhi yake japo sio level yake kwa wakati huo.
Eg . anawaza kuwa na ofisi ya 5m wakati hata laki hana.
Wengi hudhani elimu ni excuse ya kutokufanya baadhi ya kazi.
Mafanikio huanzia kwenye mawazo chanya.
 
Hahahahaa...nacheka km mazuri..huyu dogo ht ukimuona tu unajua huyu mtundu sana..yaan kakorofiii...kamewah kutufungia nje..kakaja fungùa saa8 usk yaan ilikua ukimgombeza tu anakimbilia chumban anajifungia mazima..utaita wee..wapii.kakaa kimya..jaman...nakwazika..ila maajabu shuleni ticha ake ananiambia Luiz is very smart..had nikamwambia kwan kuna kina Luiz wawili hili darasa...dah..ni mtata sijapata ona..lakini naambiwa na mm nilikua hv...baba yetu alikua hvi..mtata,mbabe,dah ..siku hiz simpigi..nampa postive discpline..ila hazisaidii..ukimuacha kwenda mjin hajishughulishi..anafungulia kuku makusudically wanakula maua yangu..chaa!
Hahahaha 😀 😀 😀 nenda naye taratibu...kama akikosea muonye kiurafiki kwa kumueleza kuwa jambo alilofanya sio sahihi. Jaribu kumpa moyo na kumzawadia anapopunguza utundu ili aweze kuhusianisha tendo hilo na zawadi. Utundu utaisha eventually. Watoto watundu kama huyu shuleni wako vizuri sana. Nina mtoto wangu mtata sana awapo nyumbani lakini shuleni yupo vizuri hadi nashangaa. Watoto ma genius ndivyo walivyo. Mchukulie easy.
 
Kako smart sana ila shid yake hatak kufindishwa kbs..yaan anajifundisha mweyew ..hahah nw ndo naenda nYe hvyo..ila ukimtisha ndo umeharibi kbs yaan eventually anakufanyia kitu cha ajabu ...kanaweza ficha keys ht 2dys..ukipanik hakupi ng'o..mie nakafinyaga ndo kanalia tu hakuoneshi. akikuonesha anakuambja Nimeficha kwasababu ulisema mm mtoto mbya hhahaa..ptu
 
Huwa hawapendi kuambia negative comments kuwahusu...ukimsema vibaya anakosa raha ndio maana nimesema uwe unam-reward, sio kwa kumpa zawadi tu anapofanya vizuri kitabia na kitaaluma bali hata anapokosea mwambie ukipunguza utundu nitakununulia zawadi fulani...na sometimes uwe unamletea zawadi na kumuahidi kuwa akiendelea ku-behave vizuri, utampa zawadi kubwa zaidi.

Ni kweli pia hawapendi kufundishwa na shuleni akifundishwa njia labda ya kukokotoa hesabu, akija nyumbani ukamfundisha njia nyingine nyepesi, hakusikilizi. Wa kwangu naye yuko hivyo. Lakini utoto nao unachangia....wakiwa wakubwa wanakuwa waelewa sana.
 
Haahaa huyo km wa kwangu anapenda kukokotoa huyo hahaha sawa sawa sema ana mama mkali baba mpoleeee
 
Kosa ninalojutia kozi niliyosomea najuta sio sir nilitembea kutafuta kaz mpk bahasha ilikuwa inachanika kwa jasho la mkono ila sikupata na mpk sasa niliamua kuachana na hizo habar nikaamua kujiajir tu
Niuzie vyeti
 
Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Wewe nimesha kufaham, upo Babati, tena unauza duka
 
Najutia kutofanya vzr kidato cha 4, Najutia kutembea na wake za watu na madem ambayo jumla yao inafikia 409 hv, (hao Ndio nawakumbuka)
Najutia Kuoa mke asie na Adabu, sema tu anakakazi,
Najuta kwa nini Nimekosa hela ya kuondoka Tanzania kuelekea Botswana au marekani,
Najutia kua mlokole Nakosa Fursa ya kuwagonga madem,
Najuta kila ninapo mwona mva sketi lazima isimame
 
Najuta nilivyo mvumilia mwanaume miaka 20 bila matunzo na kujimudu mwenyewe kimaisha na kulea watoto mwenyewe yeye analeta pumbu tu na kipigo juu na alikuwa mdokozi wa vijisenti vyangu vya biashara nikamvumilia tu sababu akutetelesha msingi wangu lakini kilicho nifanya nilivue pendo na mwishoo wangu kwake na kilio kikubwa zaidi ya majuto alicho nifanyia kuniibia pesa zangu zote za mtaji mpaka sasa natangatanga nadaiwa pesa za mashure (private) mpaka wamenichoka kulialia wakati enzi zangu ilikuwa pesa ya madafu kulipia watoto 4 najuta kumvumlia mwanaume malio na kupoteza muda wangu na umri wangu wa ujana nikitegemea ataacha yanii daaa! Simsame mpaka uchumi wangu urudi tena ata Nikifa asije kwenye mazishi yangu ata jeneza asiguse atakuwa ananijoki tu nae anajua haya![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pole Sana, mungu akutie nguvu
 
Back
Top Bottom