Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Sidhan kwan vip
Screenshot_20190521-221346.jpg
Screenshot_20190521-221415.jpg
 
Bro Mimi alikuwa ananiamini sana sana sana hata Simu yangu alikuwaga hawezi pokea hata SMS ilikuwa ikiingia ananimetea Simu hata niwe umbali gani. Kuna siku niliisahau Simu nikatoka kidogo nikaiacha chumbani na yeye alikuja siku hiyo. Muda si mrefu nikakuta amenifata mahali nilipokuwepo akiwa na Simu yangu mkononi. Basi nikajua kuna SMS au nimepigiwa so kaniletea kama kawaida yake,Basi nlivomwuliza kuna mtu anapiga? Akanambia twende kwanza ndani huku ameishikilia Simu. Asee nlipofika ndani akanambia kaa hapa kisha akaanza kufungua SMS moja baada ya nyingine. Alilia sana sana huku anajiapiza maneno mazito sana,moja ya maneno yalikuwa ni "Mama bora ulivyokufa ungeondoka na Mimi mana mateso ninayopata duniani sina mtetezi wala msaidizi, niliyeamini atakuwa mtetezi na mfariji wangu ndio ananiumiza kuliko mtu yeyeote". Asee nilihuzunika sana hadi nilipiga magoti ila nilijikaza sikulia,kwa Mara ya kwanza nilimfuta machozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee pole sana mkuu...!! Binti wa watu alijitoa kumbe bado kijana unachovya chovyaa...
 
Kuoa mwanamke niliyedumu naye kwa mwezi mmoja tu kisa alibeba ujauzito, na kumuacha mwanamke niliyedumu naye kwa miaka mitatu,nimeingia kwenye ya ndoa ya hovyo sana,mke wangu ana tabia za ajabu sijapata kuona,Dah sina furaha kwenye maisha ya ndoa kabisa,natamani kuanza upya mchakato wa kupata mke mwema.
Why umuache unaemfahamu miaka yote kisa mimba ya mwingne uliekutana nae jana...!! Hilo lilikuwa kosaa
 
Utunzi mzuri.
Ni kutokana shida, dhiki, manynyaso
Mateso,kejeli.....shida za hapa na pale

Kwa bahati mbaya nikapata ushauri
Kwa rafiki yangu ambaye alikuwa amejiunga na dhehebu ya kishetani
Inaitwa CHURCH OF SATAN/LUCIFER
ambayo makao makuu yapo marekani
Jimbo la network, ilianzishwa 30 /04/ 1966. ambayo kwa jina lingine wanaita THE BLACK HOUSE.
kwa sisi wafuasi wa hili dhehebu huwa
Tunaliita THE BLACK FLAME au THE CLOVE HOOF.
hii dhehebu haina tofauti sana na dhehebu ya ILLUMINATI,

Na kuna kitu watu hawajui, watu wengi ulimwenguni wamezoea kusikia madhehebu ya kishetani aina mbili ambayo ni FREEMASON na ILLUMINATI
lakini kumbuka kuna madhehebu ya kishetani yapatao 30 na zaidi.
( kutokana na masharti sitayataja )
Rafiki yangu aliunganishwa na mzungu
Ambaye ni raia wa marekani, na alinishawishi kwa muda mrefu kujiunga na dhehebu hili, nami nilikataa lakini baadae uvumilivu ulinishinda kutokana kwamba alikuwa akinishawishi kupitia kunipa fedha, kunipa million 2 kwake ilikuwa kawaida, kweli pesa shetani
Nikashawishika na kutaka kujiunga alifurahi mno na kupanga safari kuelekea marekani kwa ajili ya kuunganishwa na kuapishwa kuwa muumini wa dhehebu hilo la kishetani
Nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na baada ya hapo nikawa tajiri na masharti ya kafara yalipangwa,

Hayo ndio maisha niliyopitia hadi sasa
Ninao utajiri Mali za kutosha lakini moyo unauma kwa kutoa ndugu zangu kafara, tena ni kafara mbaya sikuwahi kuona duniani.
Na cha ajabu huwezi kujitoa kujitoa kwake ni lazima ufe ni lazima ulionje mauti. Na adhabu inapewa kuzimu.

Sitaki kuongea sana kwa sababu sheria na kanuni za the black house hairuhusu
Kuzungumzia kwa undani suala hili.
Nafikiri umenipa mkuu.........

[emoji17] [emoji25] [emoji29] [emoji29]
 
Najuta kwenda kusoma Arusha Tech kwani baada ya kufika nikaona kabisa uwezekano wa kuendelea kielimu ni almost hakuna. Coz ngumu halafu unaishia hapo hapo maana Chuo kikuu hawataki wenye FTC/Diploma wasonge mbele. Hili liliniathiri mno na mpaka sasa huwa najuta kwani saa hii ningekuwa naitwa Dr. Kingu wa uhandisi mitambo.
Chuo kikuu gani hawataki diploma?
 
Najuta kwenda kusoma Arusha Tech kwani baada ya kufika nikaona kabisa uwezekano wa kuendelea kielimu ni almost hakuna. Coz ngumu halafu unaishia hapo hapo maana Chuo kikuu hawataki wenye FTC/Diploma wasonge mbele. Hili liliniathiri mno na mpaka sasa huwa najuta kwani saa hii ningekuwa naitwa Dr. Kingu wa uhandisi mitambo.
Chuo kikuu gani hawataki diploma?
 
Najuta kwenda kusoma Arusha Tech kwani baada ya kufika nikaona kabisa uwezekano wa kuendelea kielimu ni almost hakuna. Coz ngumu halafu unaishia hapo hapo maana Chuo kikuu hawataki wenye FTC/Diploma wasonge mbele. Hili liliniathiri mno na mpaka sasa huwa najuta kwani saa hii ningekuwa naitwa Dr. Kingu wa uhandisi mitambo.
Chuo kikuu gani hawataki diploma?
 
Najuta kujiunga na madhehebu ya kishetani kwa ajili ya kupata utajiri.
Nimeshatoa kafara ndugu zangu wawili ( 02 ) mpaka sasa.

Najutaaaaa roho inaniuma sana, na siwezi kutoka kwenye hii dhehebu ya kishetani.
Hii ni siri yangu ya muda mrefu unao uchoma na kuumiza moyo wangu.
...Natumaini kuwa huu ni mzaha wa kufurahisha Baraza.
Kama ni ukweli, Pole zako.
Je Utajiri uliotaka Uliupata??
 
Back
Top Bottom