Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Jionge
ze mzee baba..bas amebadili id hata mm sikua najua๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
badili king'amuzi..unatumia kinachochelewa kushika mawimbi Njoo DSTV yani kiki happen kitu hapo hapo unajua ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Unashtuka leo wenzako wako season 4 we bado unatafuta season 2 ep ya 3 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahaha nadhan Ting hainifai..sikujua kbs..kwanza ndo naliona jana hili jina..lol...i miss u rafiki mtukutu๐Ÿ˜Ž
 
Sitasahau siku niliyomfi...r..a kwa bahati mbaya mpenzi wangu kipenzi niliyepanga kuja kumuoa.Ilikuwa ni tukio la aibu sana kwangu na kwake pia.Aliikalia vibaya ikazama yote mkyundyuni na akasikia maumivu makali sana ilipoingia yote.Akajikaza ili nitoe na kila nikijaribu kuitoa alikuwa anaumia sana,nikawa naivuta kidoo kidogo mpaka ikatoka na damu kidogo niliyomchana mkyundyu.Alilala ndani weeks 3 tunauguza kidonda.Nisamehe sana Judith
Alikuwa mnene asiyejiweza (kujizuia na kujiinua) au ulimng'ang'ania?
 
dah touching story, hapo ningelia tu aisee
Bro Mimi alikuwa ananiamini sana sana sana hata Simu yangu alikuwaga hawezi pokea hata SMS ilikuwa ikiingia ananimetea Simu hata niwe umbali gani. Kuna siku niliisahau Simu nikatoka kidogo nikaiacha chumbani na yeye alikuja siku hiyo. Muda si mrefu nikakuta amenifata mahali nilipokuwepo akiwa na Simu yangu mkononi. Basi nikajua kuna SMS au nimepigiwa so kaniletea kama kawaida yake,Basi nlivomwuliza kuna mtu anapiga? Akanambia twende kwanza ndani huku ameishikilia Simu. Asee nlipofika ndani akanambia kaa hapa kisha akaanza kufungua SMS moja baada ya nyingine. Alilia sana sana huku anajiapiza maneno mazito sana,moja ya maneno yalikuwa ni "Mama bora ulivyokufa ungeondoka na Mimi mana mateso ninayopata duniani sina mtetezi wala msaidizi, niliyeamini atakuwa mtetezi na mfariji wangu ndio ananiumiza kuliko mtu yeyeote". Asee nilihuzunika sana hadi nilipiga magoti ila nilijikaza sikulia,kwa Mara ya kwanza nilimfuta machozi
 
Hahaha nadhan Ting hainifai..sikujua kbs..kwanza ndo naliona jana hili jina..lol...i miss u rafiki mtukutu๐Ÿ˜Ž
tunapishanaga tu mtaani nkawa najiuliza kulikoni huyu ndugu hanisalimiii siku hz? kumbe maskini alikua hajajua nani jamaniiiiii Natumia RAV 4 sku hzi nshahama kwenye starlet sku mingiiiiiii๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
tunapishanaga tu mtaani nkawa najiuliza kulikoni huyu ndugu hanisalimiii siku hz? kumbe maskini alikua hajajua nani jamaniiiiii Natumia RAV 4 sku hzi nshahama kwenye starlet sku mingiiiiiii๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›

๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š Haya mzee wa perimeter...mm nipo tu...nasubiria ujio wa tar7.9..wa Raisi wetu Tundu Antipas Lissu
 
๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š Haya mzee wa perimeter...mm nipo tu...nasubiria ujio wa tar7.9..wa Raisi wetu Tundu Antipas Lissu
Tungekua nyumba moja hyo siku ningehakikisha naku keep busy yani ntahakikisha hupat hata time ya kuskiliza radio...sema basi tu Japo pia maombi yangu yataweza fanikisha hilo..Rais wa nini huyo eti mzee wa nywele za mkono hu hu hu
 
hahahaa...hujanishawishi kwakweli...dah....nakuchukia hapo tu๐Ÿ˜ฃ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sasa naomba uweke akilini mwako tar 5 nitakushtua..nakupitia...nahis upo dar..lazma ukampokee...haiwwzekan Raisi ajaye usimpokee
mimi Huyu unipitie?? labda uje kama kawaida yako Ile mida tumelala Huko juu ya BATI ila sio nikiwa macho..ntavyokufungulia hawa Mbuzi wakufukuze hutoamini๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
mimi Huyu unipitie?? labda uje kama kawaida yako Ile mida tumelala Huko juu ya BATI ila sio nikiwa macho..ntavyokufungulia hawa Mbuzi wakufukuze hutoamini๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Maccm bwana..hayafai...bas mm nitaenda kumpokea..ww bak na mbuzi zako..au nipe m1 wa kupeleka zawadi mzee baba๐Ÿ˜Ž
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Maccm bwana..hayafai...bas mm nitaenda kumpokea..ww bak na mbuzi zako..au nipe m1 wa kupeleka zawadi mzee baba๐Ÿ˜Ž
kapo bandani kamoja kanaumwa umwa sjui katakua na dengue..nadhani badala ya kuchinjia mbwa itabidi nimuweke reserve..Uje mpitie mkamchinjie supu rais apate ma afya kama wewe hapooo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom