Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Sawa mkuu
Ila sio kitu rahisi kama unavyo fikiri
I know.. But My living God is greater than your problem... It might be seen like there is no turning back.. But with Jesus Christ everything is possible for who believes... Karbu sana
 
I know.. But My living God is greater than your problem... It might be seen like there is no turning back.. But with Jesus Christ everything is possible for who believes... Karbu sana
Amen [emoji120] [emoji120]
Endelea kuniombea na usiache kuniombea ili nije kuachana hizi roho za kishetani.

Pray for me kwa jinsi unavyoweza.....
 
Najuta kumuacha Dada watu aliekua ananijali nikakimbilia kwa mwanamke mwingine sababu tu ana matako makubwa
Du pole sana mkuu. Uliacha wife material ukafuata CHURA? Muombe Mungu akusamehe dhambi zako.
 
Naliwekaje hili!?najuta kutumia nguvu kubwa kufanya mambo mengi mwisho wa siku hayawu,fate inanihukumu...
 
Amen [emoji120] [emoji120]
Endelea kuniombea na usiache kuniombea ili nije kuachana hizi roho za kishetani.

Pray for me kwa jinsi unavyoweza.....
KIngdom of God v.s KIngdom of Satan: ..

Angalia hii kitu afu nipe mrejesho...
 
Najuta kwenda kusoma Arusha Tech kwani baada ya kufika nikaona kabisa uwezekano wa kuendelea kielimu ni almost hakuna. Coz ngumu halafu unaishia hapo hapo maana Chuo kikuu hawataki wenye FTC/Diploma wasonge mbele. Hili liliniathiri mno na mpaka sasa huwa najuta kwani saa hii ningekuwa naitwa Dr. Kingu wa uhandisi mitambo.
 
Ni kutokana shida, dhiki, manynyaso
Mateso,kejeli.....shida za hapa na pale

Kwa bahati mbaya nikapata ushauri
Kwa rafiki yangu ambaye alikuwa amejiunga na dhehebu ya kishetani
Inaitwa CHURCH OF SATAN/LUCIFER
ambayo makao makuu yapo marekani
Jimbo la network, ilianzishwa 30 /04/ 1966. ambayo kwa jina lingine wanaita THE BLACK HOUSE.
kwa sisi wafuasi wa hili dhehebu huwa
Tunaliita THE BLACK FLAME au THE CLOVE HOOF.
hii dhehebu haina tofauti sana na dhehebu ya ILLUMINATI,

Na kuna kitu watu hawajui, watu wengi ulimwenguni wamezoea kusikia madhehebu ya kishetani aina mbili ambayo ni FREEMASON na ILLUMINATI
lakini kumbuka kuna madhehebu ya kishetani yapatao 30 na zaidi.
( kutokana na masharti sitayataja )
Rafiki yangu aliunganishwa na mzungu
Ambaye ni raia wa marekani, na alinishawishi kwa muda mrefu kujiunga na dhehebu hili, nami nilikataa lakini baadae uvumilivu ulinishinda kutokana kwamba alikuwa akinishawishi kupitia kunipa fedha, kunipa million 2 kwake ilikuwa kawaida, kweli pesa shetani
Nikashawishika na kutaka kujiunga alifurahi mno na kupanga safari kuelekea marekani kwa ajili ya kuunganishwa na kuapishwa kuwa muumini wa dhehebu hilo la kishetani
Nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na baada ya hapo nikawa tajiri na masharti ya kafara yalipangwa,

Hayo ndio maisha niliyopitia hadi sasa
Ninao utajiri Mali za kutosha lakini moyo unauma kwa kutoa ndugu zangu kafara, tena ni kafara mbaya sikuwahi kuona duniani.
Na cha ajabu huwezi kujitoa kujitoa kwake ni lazima ufe ni lazima ulionje mauti. Na adhabu inapewa kuzimu.

Sitaki kuongea sana kwa sababu sheria na kanuni za the black house hairuhusu
Kuzungumzia kwa undani suala hili.
Nafikiri umenipa mkuu.........

[emoji17] [emoji25] [emoji29] [emoji29]
Mkuu @goldieink nimekupata vilivyo. Sasa soma hii kitu kwa makini sana na ukizingatia nitakupiga kabisa. Ni kweli umeshafanya hayo yote na hiyo Guilty conscious uliyonayo ni Mungu anakuhukumu kwa uliyoyafanya. Lakini kumbuka hakuna linaloshindikana kwake ukimuamini mkuu. Na kuthibitisha hilo kuna kafara kamilifu (perfect sacrifice) ilishatolewa kwa ajili ya hayo yote inayozidi hayo yote mkuu if you will just accept it is already done brother. There is a way out if you will just accept it. You will come here testifying that the Devil (no matter how, where and who he is) is a liar and powerless in front of the blood of God Himself. Hizo Damu zingine sio perfect ndio maana you keep sacrificing your siblings na uone jinsi Shetani alivyokudanganya at the end you will die yourself the same way cause he need your soul . You will go with nothing leaving everything here on earth. You will die naked as you came but only to face judgement. Why can't you run now before it's too late? God can't fail because He is God. Don't wait till dearth find you in the hands of the Devil. Because you will realise that when you die your money,fame, wealth etc. Can't help you, you leave everything here on earth going alone to face judgement and you won't be asked about those things but you will be asked for sure about what did you do to Know God? Because He is your creator. think of it

Hakuna Damu itakayozidi Damu ya Mungu mwenyewe. Ilitolewa kwa ajili yetu sote mkuu huna haja ya kukata tamaa muamini Mungu and you will be free brother. Shetani hawezi kuumba hivyo hawezi kushindana na aliyemuumba.
Once you accept Jesus His blood cleanse you and you can't die because you have His one life Eternal life hivyo hata kifo hutokiogopa kwa sababu umekishinda through the perfect blood. kosa pekee lisilosamehewa ni kumkufuru Mungu tu. be blessed. Zaidi waweza ni PM
 
Ni kutokana shida, dhiki, manynyaso
Mateso,kejeli.....shida za hapa na pale

Kwa bahati mbaya nikapata ushauri
Kwa rafiki yangu ambaye alikuwa amejiunga na dhehebu ya kishetani
Inaitwa CHURCH OF SATAN/LUCIFER
ambayo makao makuu yapo marekani
Jimbo la network, ilianzishwa 30 /04/ 1966. ambayo kwa jina lingine wanaita THE BLACK HOUSE.
kwa sisi wafuasi wa hili dhehebu huwa
Tunaliita THE BLACK FLAME au THE CLOVE HOOF.
hii dhehebu haina tofauti sana na dhehebu ya ILLUMINATI,

Na kuna kitu watu hawajui, watu wengi ulimwenguni wamezoea kusikia madhehebu ya kishetani aina mbili ambayo ni FREEMASON na ILLUMINATI
lakini kumbuka kuna madhehebu ya kishetani yapatao 30 na zaidi.
( kutokana na masharti sitayataja )
Rafiki yangu aliunganishwa na mzungu
Ambaye ni raia wa marekani, na alinishawishi kwa muda mrefu kujiunga na dhehebu hili, nami nilikataa lakini baadae uvumilivu ulinishinda kutokana kwamba alikuwa akinishawishi kupitia kunipa fedha, kunipa million 2 kwake ilikuwa kawaida, kweli pesa shetani
Nikashawishika na kutaka kujiunga alifurahi mno na kupanga safari kuelekea marekani kwa ajili ya kuunganishwa na kuapishwa kuwa muumini wa dhehebu hilo la kishetani
Nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na baada ya hapo nikawa tajiri na masharti ya kafara yalipangwa,

Hayo ndio maisha niliyopitia hadi sasa
Ninao utajiri Mali za kutosha lakini moyo unauma kwa kutoa ndugu zangu kafara, tena ni kafara mbaya sikuwahi kuona duniani.
Na cha ajabu huwezi kujitoa kujitoa kwake ni lazima ufe ni lazima ulionje mauti. Na adhabu inapewa kuzimu.

Sitaki kuongea sana kwa sababu sheria na kanuni za the black house hairuhusu
Kuzungumzia kwa undani suala hili.
Nafikiri umenipa mkuu.........

[emoji17] [emoji25] [emoji29] [emoji29]
Du pole sana mkuu. Njoo kwa Yesu ukombolewe kutoka minyororo ya shetani.
 
Najuta kuhama PCB kwenda PCM. Mpaka sasa najuta, ipo siku nitasahau najua
Pole sana mkuu. Nna hakika sasa hv ungekuwa daktari mzuri tu.
 
Nilidondosha kondomu subulebi mbele ya wazazi na wageni, mbaya zaid baba yangu alikua ananiamin kupitiliza na kujua sina mambo ya mahusiano kabisa, sitaki kukumbuka ile siku ni bonge la aibu
Nahisi kijasho chembamba kilikutoka na mapigo ya moyo kubadilika ghafla.
 
Mimi kuoa bwana niliacha mwanamke wa maana kweli kweli nikisema mwanamke wa.maana nafikiri wanaume mnanielewa nikaenda kuoa kituko kabisa sasa imebidi tu nipige chini nikajisalimishe kwa huyu mpendwa wangu wa sasa
 
kosa nalojutia ni kukutana na mpenza wangu wa kwanza toka nipo sec, kilichotutenganisha niliama shule, sasa tumekutana tena sasa ninampenda kupitiliza ila sitakubali anivue chupi, sababu nimeshaolewa na nina watoto wawili nae kashaoa, ila wote tunapenda na nimemkisi mala kibao sababu lips zake nitamu kwa kukisi....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mimi kuoa bwana niliacha mwanamke wa maana kweli kweli nikisema mwanamke wa.maana nafikiri wanaume mnanielewa nikaenda kuoa kituko kabisa sasa imebidi tu nipige chini nikajisalimishe kwa huyu mpendwa wangu wa sasa
Pole sana mkuu. Afadhali umegundua kosa mapema na kujisahihisha...wanawake wengine ni zaidi ya NYOKA!
 
Usiogope kufa Ndugu maana hakuna MTU atakayeishi milele. Sisi sote ni marehemu watarajiwa hivyo kwakua umegundua tatizo tayari mungu ameshafungu Mlango wa wewe kutoka huko utayari wako ndio wokovu wako wa maisha haya na yajayo. Zipo shuhuda nyingi za waliotoka huko wakamrudia mungu na wapo salama hadi sada , chukua hatua sasa maana wokovu wako uko tayari usiogope kupoteza utajiri maana roho yako ni zaidi ya utajiri na zaidi ya hayo mungu anaweza kukufanya tajiri hali ukiwa na heshima yako katika jamii. Adui Mkubwa wa maisha yako Kwa sasahivi ni woga. Tafakari chukua hatu wala usijiulize tena maana tunakuombea na mungu wetu wa huruma na msamaha atakusaidia
Ahsante kwa ushauri mkuu.
Nakuhakikishia naufanyia kazi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom