Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Ulijaribu ikakushinda??hiyo hapana, naiogopa sana aisee
Ulijaribu ikakushinda??hiyo hapana, naiogopa sana aisee
Na kweli kwa kosa hili hii dhambi fanya kufunga na kutubu!Kumpigia kura baba jesssica na kuanza kushawishi watu wengine wampigie kura kwenye uchaguzi 2015..hili ni kosa kubwa sana nililowahi fanya maishani mwangu
We una lako jambo, si kwa hayo maswaliUlijaribu ikakushinda??
kusoma miaka mingi, alafu matokeo ni upuuzi mtupu.
In box please!!kuanza kutiwa kabla ya ndoa
Mbona iko poa tu!hiyo hapana, naiogopa sana aisee
Nakubaliana na wewe 100% , shule kibongo bongo inazingua, unapoteza miaka mingi kusoma halafu ukipata hiyo kazi mshahara laki 6 [emoji15] .Kama mtu unawekeza muda wako kwenye business unatoboa vizuri tuHahaha Mimi nina Degree na MSc. (Zote za Accounting & Finance Field) nilivyorudi from mbele nikaregister na board ya wahasibu nipige ma paper niwe Certified.
Baada tu ile nimelipia kila kitu....Jamaa zangu niliokuwa nao ughaibuni kishule wakaniambia kwann tusifanye biashara flan huku Kariakoo (Uzuri support tunayo). Hela niliokua napiga kule sumtyms na watu ambao hawana hata diploma, sikuhudhuria tena hata kipindi kimoja cha hyo course. N
Hyo shule nikafutilia mbali....Sumtyms watu wanachelewa maisha sababu ya shule ( Simaanishi shule ni mbaya, ila at tyms soma kiasi tu, ukipata capital na channel go for it.)
We una lako jambo, si kwa hayo maswali
hiyo hapana, naiogopa sana aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlinzi wa bar1. Nilitembea na dada mtu, wadogo zake wawili, binamu yake na wifi yake... Najutia hiki kitu kila dakika, ila wale watoto wanajua kutega na ni watamu kwelikweli
2. Tabia ya kukaa baa kumsubiri baamedi amalize shifti daah, nilikua kama mlinzi wa baa
Hivi vitu sitokuja virudia tena abadani
Ujana na papuchi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlinzi wa bar