Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Najutia kusoma Darasa la sita Saba na form 1 wakati technically Ni Darasa Moja tu hilo la LUGHA tofauti
 
Nimeoa mwanamke ambaye sikumchunguza vzr na kumuacha aliye futaha yangu, nateseka na najutia sana. Bado na struggle namna ya kurejesha furaha yangu. It hurts me much
mkuu pole sana ukiwa kimya ni balaa.Ningelikuwa wewe ningekaa nimwambie ukweli then kila mtu atafute utaratibu wake hii naionaga sana mkuu barabarani kwenye foleni asubuhi na jioni
 
Ndiyo, mmoja. And nadhan sitataka nipate mwingine tena kwake.
Usijutie sana maana ndo chaguo uliloona sahihi kwako cha mhm ongea nae vzr ilikuweka mahusiano yenu vzr.. Kwa chcht mtachokifanya nyinyi mtamtesa mtt.
Sali sana Mungu aibadikishe ndoa yako iwe yenye amani.
 
Mkuu mijizi ya chadema nasikia ndo ilihonga nyumba za serikali kwa hawara zao na juzijuzi ilipiga rambirambi kule kagera

Ikatununulia na boti hewa ambayo tumeiweka nyumba ya makumbusho... Anyway sisi tutapiga mbizi tu maana hamna namna tena
 
Najutia sana kuchelewa kuvumbua nia na madhumuni rasmi ya waraka nina matumaini Shunie atawachanganya vya kutosha mshindwe kuutoa waraka mapema ili uwe mikono salama(ya kwetu)
Mi najutia sana kumwingiza Numbisa kwenye maabara yangu. Najutia sana ushauri wa Bonny ... ameufanya utajiri wangu usogezwe mbele kwa kipindi kisichojulikana.

Ngoja niangalie kama Shunie anaweza kuziba mapengo... Vinginevyo ntamuachia Mungu.
 
Back
Top Bottom