Nyankuzi
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 465
- 391
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me najuta kumpiga mzee wangu mizinga ile nimlipie ada bf .. nitawachuna wanaume mpaka kaburini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me najuta kumpiga mzee wangu mizinga ile nimlipie ada bf .. nitawachuna wanaume mpaka kaburini
Najutia sana kuchelewa kuvumbua nia na madhumuni rasmi ya waraka nina matumaini Shunie atawachanganya vya kutosha mshindwe kuutoa waraka mapema ili uwe mikono salama(ya kwetu)
Uwachune haohao wa kuja. Si wajanja siku hizi tunabeep tu... Tunagonga, tunasepa.Me najuta kumpiga mzee wangu mizinga ile nimlipie ada bf .. nitawachuna wanaume mpaka kaburini
mkuu tumeanza kutupiana mawe hadharani hivi najua Numbisa ndio tatzo kwako na swala kubwa alikataa kua anna ushaur wangu bado uko pale pale kua lazma tupate mtu wa kaliba ya Numbisa ili kuweza kupata mafanikio
mkuu tumeanza kutupiana mawe hadharani hivi najua Numbisa ndio tatzo kwako na swala kubwa alikataa kua anna ushaur wangu bado uko pale pale kua lazma tupate mtu wa kaliba ya Numbisa ili kuweza kupata mafanikio
kuhusu Shunie hapa ni kwa sababu hujamfahamu vizur ila acha nikupe muda ila utakuja kunielewa nnachomaanisha hapo baadae
'always rule number 3"
Ni hatari, bilashaka huwa unaniona na mm pia. Inaumiza sanamkuu pole sana ukiwa kimya ni balaa.Ningelikuwa wewe ningekaa nimwambie ukweli then kila mtu atafute utaratibu wake hii naionaga sana mkuu barabarani kwenye foleni asubuhi na jioni
Mi sijajutia kuondoka jeshini... ila nawaonea huruma niliowaacha huko... yani wako choka mbaya na vinyota vyao...Mimi nilipata nafasi ya mwenda jeshin ila nikagoma japo chuo nmepata course nzur(afya) ila hua najutia sana na nikimaliza lazima niende. (Wenzangu walioenda sasa nia maafisa wa jeshi japo wengine walitemwa). Nikikikumbuka hii nafasi hua maumia sanaaa.
hilo haliwez kutokea mama tushayamaliza hayaHahahaaa bahati nzuri mie sio nyasi hahaha (mafahari wawili) nasubiria kudaka kitu hapa
Huwa sijaribugi majaribu..... Ahahahahahaaahaaaaa mie nikajua waniuliza cos unataka tujaribu lol....
Kwani bikra zote huna ?nilipopoteza bikra yangu kwa mwanaume ambaye cye mume wangu akat nlikua na mchumba ambaye ndiy nliefunga ndoa nae kwa sasa bora angeitoa mme wangu.Na matokeo ya dhambi hiyo ni kuharibika kwa uhusiano wang na Mungu.Jaman ningerud utto mim cjui japo watu wanadai bikra ni ushamba lakin ckwela! bikr THAMANI kubwa mabint jitunzen
kosa nalojutia ni kukutana na mpenza wangu wa kwanza toka nipo sec, kilichotutenganisha niliama shule, sasa tumekutana tena sasa ninampenda kupitiliza ila sitakubali anivue chupi, sababu nimeshaolewa na nina watoto wawili nae kashaoa, ila wote tunapenda na nimemkisi mala kibao sababu lips zake nitamu kwa kukisi....