jamalshasha
Member
- Jan 19, 2017
- 12
- 3
Kuacha kaz bila kufukuzwa..
Sriosly[emoji15] [emoji15] .....kukubali kuzaliwa
Alikunyooshaaa 😀😀kumpa ex wangu namba yangu ya siri ya kadi ya benk.nilimuamini kupita kiasi.alifagia ela yote bado kidogo ningerudi kwetu nanjilinji.nilidandia treni kwa mbele ndo nikajua mjini shule.nafwaaa
niache wewe.kwani nilipinda?hahhaAlikunyooshaaa 😀😀
Hahaha bado yule aliyekuomba kyupi akunyoosheniache wewe.kwani nilipinda?hahha
Nashukuru hii comment yako imenipa ujasiri sana. Mkuu si unaona kuajiriwa wakati mwingine ni kujitakia umasikini?Hahaha, well nina Degree na MSc. (Zote za Accounting & Finance Field) nilivyorudi from mbele nikaregister na board ya wahasibu nipige ma paper yao niwe Certified.
Yani ile tu nimelipia kila kitu....Jamaa zangu niliokuwa nao ughaibuni kishule wakaniambia kwann tusifanye biashara flan huku Kariakoo (Support Tulipata). Hela niliokua napiga kule sumtyms na watu ambao hawana hata diploma, sikuhudhuria tena hata kipindi kimoja cha hyo course. [emoji23][emoji23]
Nikafutilia mbali....Sumtyms watu wanachelewa maisha sababu ya shule ( Simaanishi shule ni mbaya, ila at tyms soma kiasi tu, ukipata capital na channel go for it.)
etiiii...........🙄Najuta kuwa mimi. .
Du! Pole sana mkuu. Huyo mjinga kakuibia mtaji wa biashara nini? Hebu funguka kidogo.Najuta kumfahamu mjinga mmoja aliniharibia direction ya maisha yaani kama nilikuwa naelekea kaskazini nikaanza kuelekea kusini...system nzima aliniharibia yaani ni miaka miwili sijamuona ila maisha yangu hayajawahi kurudi kama zamani
Hahaa hapana mkuu siwezi kufunguka zaidiDu! Pole sana mkuu. Huyo mjinga kakuibia mtaji wa biashara nini? Hebu funguka kidogo.
Aisee pole sanaKuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa kufuata matakwa ya moyo na si akili,kiasi kwamba leo yananicost maana sina furaha maishani mwangu.
hhahahaahaha pole1.Nina mdogo wangu wa kiume huwa anatembea haangaliagi.Basi siku hiyo asubuhi nikaskia puu nkaropoka huku natoka nje na ukome mana huangaliagi unatembea kama huna macho Laaahaula!kutoka nje ni mdingi kateleza akaanguka nlisikiaje aibu halafu na yeye akanambia sawa bhana.
Ikabidi nijitetee ila niloona aibu na kujiskia vibaya
Mpaka leo nikikumbuka najiskia vibaya japo yeye alielewa
2.Najuta kusoma course ambayo niliisoma tu kwasababu ntakuwa na uhakika wa kupata ajira mapema lakini looo!mpaka sasa nang'aa sharubu
Usiwaze kijana bado unayo nafasi ya kujibadirisha na kuwa mwanamke ili uwe unatumika kama akina Rachel.!najutaga kuzaliwa mwanaume hilo ndo najutia kia siku na i will always do that...
Very touching storyMkuu tpaul mimi huwa naamini kuna mambo mengine yanatokea ''with purpose''. Na hata ulivyoelezea wewe nadhani huna haja ya kujuta bali ni kijipongeza kwa kuweza kufanya kitu ambacho watu wengine wengi wangekata tamaa. Nina mfano wangu hai: Miaka ya nyuma nilihudhuria interview moja kwenye shirika moja la umma matata sana kipindi hicho i.e. BIMA. Kwenye interview tulikuwa vijana 8 na walitaka kuchukua 5 wa kuajiri halafu wafanye mafunzo ya computer kwa ajili ya kuanzisha kitengo cha computer. Zilikuwa ni posts ''hot'' sana na mshahara mzuri mno. Halafu kipindi hicho sio wengi wanajua hata computer ni nini achilia mbali kuitumia. Basi tukafanya interview na kuambiwa turudi nyumbani kusubiri majibu. Nilikuwa na mtu aliyekuwa anafanyakazi ndani ya shirika hivyo nilikuwa na uhakika wa kuchaguliwa. Baada ya wiki moja nikakutana na mmoja wa wale wenzangu kwenye interview akaniambia yeye na wenzake watatu wameshaitwa hivyo nifuatilie. Nikaenda moja kwa moja ofisini kwa yule jamaa yangu na akanichukua moja kwa moja mpaka kwa mhusika. Ile tunaingia akatuambia zile nafaa zimeshajaa (kwani yule jamaa yangu alisahau kufuatilia). Basi nikarudi huku nikimlaani yule mzee. Basi wale wenzangu 5 wakafanya mafunzo na kuanza kazi. Lakini ninapoandika hivi sasa wote hawapo tena duniani. Ilikuwaje? Kipindi hicho ndio Ukimwi ulikuwa haujajulikana sana. Na BIMA enzi hizo ilikuwa na vimwana kweli kweli. Basi walipoanza kazi wakawa wanaonja onja kumbe ndio hivyo tena. Na kipindi hicho ukiwa na UKIMWI hamna dawa ya kupunguza makalio bali unasubiri kifo..
Ufundi gani kibongobongo unaoweza kumuajiri daktari?Ulichokisema ndio hali iliyopo tunayojionea mkuu..!!
Coz nyingi sasa hivi ambazo hazikuandalii mazingira tofauti na ya kuajiriwa ni majuto tu hatima yake, mwaka huu nimeona mpaka ualimu napenyewe ni yale yale...
Yaani sasa hivi kwa mtu anaetegemea sana elimu ndio imtoe kimaisha ni bora hata akaenda zake kusomea fani za ufundi.
Kuna rafiki zangu niliomaliza nao form four wakaenda zao vyuo vya ufundi tena walitumia gharama nafuu mno kulinganisha na mimi, na baada ya kutoka chuo walijiongeza wao wenyewe kupitia taaluma zao.
Leo hii wako mbali kishenzi wana wanauwezo hata wa kumwajiri daktari.
Ile miaka mitatu ni mingi sana bwashee alafu na bado benchi linakusubiri lazima ujutee