seyayi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 683
- 821
[emoji16][emoji16] hii kuifuta kazi ipoNilikula hela niliyopewaga nikatoe sadaka.shilingi 20.
[emoji16][emoji16] hii kuifuta kazi ipoNilikula hela niliyopewaga nikatoe sadaka.shilingi 20.
Hakuna kozi mbaya tatizo hapa nyota. kozi hiyo hiyo unayoijutia kuna wenzio imewatoa kimaisha. hawajutii kuisoma na wanaapa na watoto wao wasome kozi hiyo hiyo.KUHUSU KOZI NADHANI TUNAFANANA
NATAMANI KUANZA FORM FIVE
Ukiona hivo unahomone za kike ungetakiwa kugegendwa wwSijakuelewa kaka. Unatamani ungekuwa unaaaaa....
Unawaambia wenzio ww mbona hukujitinza bikra akala mumeo!?nilipopoteza bikra yangu kwa mwanaume ambaye cye mume wangu akat nlikua na mchumba ambaye ndiy nliefunga ndoa nae kwa sasa bora angeitoa mme wangu.Na matokeo ya dhambi hiyo ni kuharibika kwa uhusiano wang na Mungu.Jaman ningerud utto mim cjui japo watu wanadai bikra ni ushamba lakin ckwela! bikr THAMANI kubwa mabint jitunzen
Amen na HongeraSIJUTII KITU CHOCHOTE MAISHANI MWANGU KWANI VYOTE VIBAYA NA VIZURI MOLA ALIVIGEUZA KUWA NGAZI YA MAENDELEO YANGU. ...KAMA YUSUFU KWENYE BIBLIA TAKATIFU
Asante sana ndugu yangu!Amen na Hongera
Unapo kosea ni kukibali kuvua chupi ya rangi nyeupe mwanaume akugegede wakati unajua hakakuoa no kosa kubwa sana wasichana na wanawake mnafanya akisha kufunua huyoo anasepa zake lakini kama angekuwa hujamvulia chupi hata kama angesepa bila kuonja utamu isingekuathiri hata kidogo sasa utamu umempa. Na kusepa amesepa [emoji23][emoji23][emoji23]Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Umeshaliwa wewekosa nalojutia ni kukutana na mpenza wangu wa kwanza toka nipo sec, kilichotutenganisha niliama shule, sasa tumekutana tena sasa ninampenda kupitiliza ila sitakubali anivue chupi, sababu nimeshaolewa na nina watoto wawili nae kashaoa, ila wote tunapenda na nimemkisi mala kibao sababu lips zake nitamu kwa kukisi....
yaani badala ya kusikitika nimecheka hapo mwisho "baba unaondoka tena" hahahahaha huyu dogo kama alikuwa anajua unakimbia majukumu hahahahahaTengeneza picha ni ww...ilikuwa aibu!! Dada na ndgu wengne walibaki wanatoa machozi na mama mdogo nlimwona akipga goti ardhini akimsih msichana asamehe!!!kwa aibu nkataka kukimbia nkiwa sijielew ila mtoto akauliza"baba unaondoka tena (ktk saut ya kitoto)!!!
Pole sana mkuu. Michepuko sio dili, baki njia kuu.Najuta kuna wasichana wawili nimewatafuna baadae nikagundua wameolewa halafu wakaamua kuachika kwa waume zao kisa Mimi,
Thanks God huyo mmoja nimemshawishi arud kwa Mme wake kakubali kesho kutwa anarud
Sitaki tena kugegeda wake za watu Mungu nisimamie
Asante mkuu najuta tu kugegeda wake za watu mwisho wanaamua kuachika ili niwe nao najuta sana nawaza siku na Mimi nikioa afu nifanyiwe hivoPole sana mkuu. Michepuko sio dili, baki njia kuu.