Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Mkuu kumbe tax ni ugonjwa wa taifa asee nimejifunza kitu kwakwl maana hii kozi nilitaka kumshauri mtu akasome sikuijua
Ninaemfahamu anapeta sana, yeye alisoma economics na taxation alifanya kama additional qualifications.
 
1.Nina mdogo wangu wa kiume huwa anatembea haangaliagi.Basi siku hiyo asubuhi nikaskia puu nkaropoka huku natoka nje na ukome mana huangaliagi unatembea kama huna macho Laaahaula!kutoka nje ni mdingi kateleza akaanguka nlisikiaje aibu halafu na yeye akanambia sawa bhana.
Ikabidi nijitetee ila niloona aibu na kujiskia vibaya
Mpaka leo nikikumbuka najiskia vibaya japo yeye alielewa

2.Najuta kusoma course ambayo niliisoma tu kwasababu ntakuwa na uhakika wa kupata ajira mapema lakini looo!mpaka sasa nang'aa sharubu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Everything happen for a lesson ...nashukuru Mungu mistake nilizofanya au majuto yamenletea vitu vizuri maishani ...kupitia kukosea nkapata [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Thubutuuuu! ....Sikupona hivi hivi ndugu yangu novena ilifanya kazi hapa tena mfululizo ( almost 3 months)...ila Sir God ana huruma asee! Sikutegemea kama ningechomoka[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Jaman mlifanya tukio gani ilo....mtufumbue macho
 
Naliwekaje hili!?najuta kutumia nguvu kubwa kufanya mambo mengi mwisho wa siku hayawu,fate inanihukumu...
Pole sana, Everything happens or exists because all things in creation agree to it. Unachochea kuanzisha mambo lakini huna control nayo thus you cannot predict your destiny or fully know your future. Pia hakuna fate inayokuhukumu
 
KIPIND NIPO FOM4 NILUPENDWAGA NA mwarabu lakini aibu zangu zilinifanya nisimtongoze had tunmalza shule ,
 
Kuwekeza bar, nikipata mshahara 1-5 pesa zimekwisha.
Thanks God, nimeacha pombe na sasa najutia pesa nilizopoteza kwenye pombe ningekuwa mbali sana kimaendeleo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u learnt your lesson the hard way
 
Back
Top Bottom